ALIMAM ALMAHDI NASSER MUHAMMAD ALYAMANI
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - جمادى الأولى - 1439 هـ
18 - 01 - 2018 مـ
10:45 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
( Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Miji)
https://nasser-alyamani.org./showthread.php?t=33793
__________
Al’Imam Al’Mahdi Anawabashiri Ma Hizbu Zote Wanao Kanusha Kitabu Kwa Adhabu Inao Nyesha Bila Ya Mawingu inawajia kutoka Kaskazini magharibi
Bismillah Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi Wenu Wa Asalat Wa Al’Salam juu ya Nabi Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Kitabu Al’Quran Al3adhim Kwa watu wote ambao inao ndani yake ukumbusho wenu na ukumbusho wale kabla yenu na habari yenu na habari ya wale kabla yenu na habari baada yenu; Na ameifanya Allah ndio yenye kuhukumu kwa yale muliokua ndani yake munakhitilifiana kwa kauli yenye uwamuzi wala sio mchezo kamba ya Allah ilio pana Al’Quran Al’Mubin Rahma kwa Ulimwengu; Ndani yake inao vitabu vote va binadamu Walio Tumilizwa Kwa Ukumbusho Kutoka Wa Mwanzo wao mpaka Wa Mwisho wao Swala Za Mola Mlezi Wangu Juu Yao na Juu Ya Alio Wafwata Kwa Ihsani katika kila zama na mahali, Lakini kiyasi gani aliwalingania Al’Mahdi Al’Muntdhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa kuhukumu kwa ukumbusho Al’Quran Al’3adhim Ambao ndani yake inao ukumbusho yale alio kuja nayo Khatim Al’Anbia Muhammad Mtume Wa Allah kwa ulimwengu na inao ukumbusho ya wale kabla yake katika Mitume Wa Allah Wote Amekusanya ndani yake Vitabu Vote Va Mitume wote imetarjimiwa kwa Lugha Ya Kiarabu ilio baini. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَمِ اتَّخَذُوا مِن دُونِهِ آلِهَةً ۖ قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ ۖ هَٰذَا ذِكْرُ مَن مَّعِيَ وَذِكْرُ مَن قَبْلِي ۗ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْلَمُونَ الْحَقَّ ۖ فَهُم مُّعْرِضُونَ (24)وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ (25) وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا ۗ سُبْحَانَهُ ۚ بَلْ عِبَادٌ مُّكْرَمُونَ (26)}
صدق الله العظيم [الأنبياء].
Allah Ta3ala Asema:{ Au wanawaabudu miungu mingine badala yake? Sema: Leteni ushahidi wenu! Haya ni ukumbusho wa hawa walio nami, na ukumbusho wa walio kabla yangu. Lakini wengi wao hawaijui kweli, na kwa hivyo wanapuuza (24) Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu (25) Na wanasema: Arrahman, Mwingi wa Rehema, ana mwana! Subhanahu, Ametakasika na hayo! Bali hao (wanao waita wana) ni watumwa walio tukuzwa (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{لَمْ يَكُنِ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ وَالْمُشْرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأْتِيَهُمُ الْبَيِّنَةُ (1) رَسُولٌ مِّنَ اللَّهِ يَتْلُو صُحُفًا مُّطَهَّرَةً (2) فِيهَا كُتُبٌ قَيِّمَةٌ (3) وَمَا تَفَرَّقَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَتْهُمُ الْبَيِّنَةُ (4) وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ حُنَفَاءَ وَيُقِيمُوا الصَّلَاةَ وَيُؤْتُوا الزَّكَاةَ ۚ وَذَٰلِكَ دِينُ الْقَيِّمَةِ (5)} صدق الله العظيم [البينة].
Allah Ta3ala Asema:{ Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana (1) Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika (2) Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka (3) Wala hawakufarikiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana (4) Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albayinah].
Na Akamtuma Allah Mja Wake Aliekhitimisha Ma Nabi Na Mitume Anaeisoma kwenu kwa ulimi wa kiarabu ulio baini bila kujianda. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّمَا أُمِرْتُ أَنْ أَعْبُدَ رَبَّ هَٰذِهِ الْبَلْدَةِ الَّذِي حَرَّمَهَا وَلَهُ كُلُّ شَيْءٍ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُسْلِمِينَ (91) وَأَنْ أَتْلُوَ الْقُرْآنَ ۖ فَمَنِ اهْتَدَىٰ فَإِنَّمَا يَهْتَدِي لِنَفْسِهِ ۖ وَمَن ضَلَّ فَقُلْ إِنَّمَا أَنَا مِنَ الْمُنذِرِينَ (92) وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ سَيُرِيكُمْ آيَاتِهِ فَتَعْرِفُونَهَا ۚ وَمَا رَبُّكَ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ (93)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Ama mimi nimeamrishwa nimuabudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu; na ni vyake Yeye tu vitu vyote. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu, wenye kunyenyekea (91) Na niisome Qur'ani. Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji (92) Na sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Yeye atakuonyesheni Ishara zake, na mtazijua. Na Mola wako Mlezi si mwenye kughafilika na myatendayo (93)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Na labda anataka mulizaji kusema:” Na je imeteremka Al’Quran Katika Kartasi amekusanya Allah ndani yake vitabu vote va mitume wa Allah wote?”. Na Alafu anarudisha jibu Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani juu ya wote waulizaji na nasema: Na kadhalika wamemhoje makafiri Mtume wa Mola Mlezi wao wakasema lau kama imeteremshwa juu yake kitabu kwenye kartasi anaisoma juu ya watu wala sio aisome bila kujianda kwa ulimi wake, Akarudisha Jibu Allah Kwa kauli yake Ta3ala:{
{وَمَا تَأْتِيهِم مِّنْ آيَةٍ مِّنْ آيَاتِ رَبِّهِمْ إِلَّا كَانُوا عَنْهَا مُعْرِضِينَ (4) فَقَدْ كَذَّبُوا بِالْحَقِّ لَمَّا جَاءَهُمْ ۖ فَسَوْفَ يَأْتِيهِمْ أَنبَاءُ مَا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (5) أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا مِن قَبْلِهِم مِّن قَرْنٍ مَّكَّنَّاهُمْ فِي الْأَرْضِ مَا لَمْ نُمَكِّن لَّكُمْ وَأَرْسَلْنَا السَّمَاءَ عَلَيْهِم مِّدْرَارًا وَجَعَلْنَا الْأَنْهَارَ تَجْرِي مِن تَحْتِهِمْ فَأَهْلَكْنَاهُم بِذُنُوبِهِمْ وَأَنشَأْنَا مِن بَعْدِهِمْ قَرْنًا آخَرِينَ (6) وَلَوْ نَزَّلْنَا عَلَيْكَ كِتَابًا فِي قِرْطَاسٍ فَلَمَسُوهُ بِأَيْدِيهِمْ لَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِنْ هَٰذَا إِلَّا سِحْرٌ مُّبِينٌ (7)} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema:{ Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za Mola wao Mlezi ila wao huwa wenye kuipa nyongo (4) Wameikanusha Haki ilipo wajia. Basi zitawajia khabari za yale waliyo kuwa wakiyakejeli (5) Jee, hawaoni vizazi vingapi tulivyo viangamiza kabla yao? Tuliwaweka katika nchi tusivyo kuwekeni nyinyi; tukawapelekea mvua nyingi na tukaifanya mito inapita chini yao. Mwishoe tukawaangamiza kwa madhambi yao; na tukaanzisha baada yao kizazi kingine (6) Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri (7) Na wao husema: Mbona hakuteremshiwa Malaika? Na kama tungeli teremsha Malaika, basi bila ya shaka ingesha hukumiwa amri, tena hapo wasingeli pewa muhula (8)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].
Lakini Muhammad Mtume wa Allah Hajasoma hasomi wala handiki bali amemfundisha Mtume Wa Allah Jibril anasoma kwake aya za Al’Quran kidogo kidogo, Na alikua anahifadhi anayo msomea juu yake Jibril Mtume Wa Allah Alafu anawasomea watu, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَقَالَ الرَّسُولُ يَا رَبِّ إِنَّ قَوْمِي اتَّخَذُوا هَٰذَا الْقُرْآنَ مَهْجُورًا (30) وَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِيٍّ عَدُوًّا مِّنَ الْمُجْرِمِينَ ۗ وَكَفَىٰ بِرَبِّكَ هَادِيًا وَنَصِيرًا (31) وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لَوْلَا نُزِّلَ عَلَيْهِ الْقُرْآنُ جُمْلَةً وَاحِدَةً ۚ كَذَٰلِكَ لِنُثَبِّتَ بِهِ فُؤَادَكَ ۖ وَرَتَّلْنَاهُ تَرْتِيلًا (32)وَلَا يَأْتُونَكَ بِمَثَلٍ إِلَّا جِئْنَاكَ بِالْحَقِّ وَأَحْسَنَ تَفْسِيرًا (33)} صدق الله العظيم [الفرقان].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Mtume alikuwa akisema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wameifanya hii Qur'ani ni kihame (30) Na vivi hivi tumemfanyia kila Nabii adui miongoni mwa wakosefu, na Mola wako Mlezi anatosha kuwa Mwenye kuongoa na Mwenye kunusuru (32) Na wakasema walio kufuru: Kwa nini hakuteremshiwa Qur'ani kwa jumla moja? Hayo ni hivyo ili tuuthibitishe moyo wako, na ndio tumeisoma kwa mafungu (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَبِالْحَقِّ أَنزَلْنَاهُ وَبِالْحَقِّ نَزَلَ ۗ وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا مُبَشِّرًا وَنَذِيرًا (105) وَقُرْآنًا فَرَقْنَاهُ لِتَقْرَأَهُ عَلَى النَّاسِ عَلَىٰ مُكْثٍ وَنَزَّلْنَاهُ تَنزِيلًا (106) قُلْ آمِنُوا بِهِ أَوْ لَا تُؤْمِنُوا ۚ إِنَّ الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهِ إِذَا يُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ يَخِرُّونَ لِلْأَذْقَانِ سُجَّدًا (107) وَيَقُولُونَ سُبْحَانَ رَبِّنَا إِن كَانَ وَعْدُ رَبِّنَا لَمَفْعُولًا (108) وَيَخِرُّونَ لِلْأَذْقَانِ يَبْكُونَ وَيَزِيدُهُمْ خُشُوعًا ۩ (109)} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Aema:{ Na kwa Haki tumeiteremsha, na kwa Haki imeteremka. Na hatukukutuma ila uwe mbashiri na mwonyaji (105) Na Qur'ani tumeigawanya sehemu mbali mbali ili uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha kidogo kidogo (106) Sema: Iaminini au msiiamini. Hakika wale walio pewa ilimu kabla yake, wanapo somewa hii, huanguka kifudifudi wanasujudu (107) Na wanasema: Subhana Rabbina, Ametakasika Mola wetu Mlezi! Hakika ahadi ya Mola wetu Mlezi lazima itimizwe (108) Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu (109)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].
Kwakua wale walio amini Al’Quran Al3adhim katika ma nasara wanamsikiza Muhammadan Rasul Allah swallah Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam anaisoma Al’Quran kama kwamba anawasomea juu yao aya za Taurat na Injili na wao wanajua kwamba yeye hajasoma hasomi wala handiki. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ يَتَّبِعُونَ الرَّسُولَ النَّبِيَّ الْأُمِّيَّ الَّذِي يَجِدُونَهُ مَكْتُوبًا عِندَهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنجِيلِ يَأْمُرُهُم بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَاهُمْ عَنِ الْمُنكَرِ وَيُحِلُّ لَهُمُ الطَّيِّبَاتِ وَيُحَرِّمُ عَلَيْهِمُ الْخَبَائِثَ وَيَضَعُ عَنْهُمْ إِصْرَهُمْ وَالْأَغْلَالَ الَّتِي كَانَتْ عَلَيْهِمْ ۚ فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ (157) قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ النَّبِيِّ الْأُمِّيِّ الَّذِي يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَكَلِمَاتِهِ وَاتَّبِعُوهُ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ (158)}
صدق الله العظيم [الأعرف].
Allah Ta3ala Asema:{ Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa (157) Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka (158)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaraf].
Na walikua wale wenye shaka wanamtia shaka Nabi ambae hajasoma katika unabi wake na wamwambia yeye:” Hakika sisi twajua kwamba hudanganyi kabla hujaisoma juu yetu hi Al’Quran kwajili ya hivo tulikusifu kwa ukweli na uwaminifu, Lakini yule ambae anakufundisha hi Al’Quran ispokua ni katika mashetani anajigeuza kwako mtu wakisawa sawa alafu anaisoma kwako hi Al’Quran”. Alafu Akarudisha Jibu Allah Juu Yao Kwa Kauli Yake Ta3ala:
{وَمَا تَنَزَّلَتْ بِهِ الشَّيَاطِينُ (210) وَمَا يَنبَغِي لَهُمْ وَمَا يَسْتَطِيعُونَ (211) إِنَّهُمْ عَنِ السَّمْعِ لَمَعْزُولُونَ (212) فَلَا تَدْعُ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَتَكُونَ مِنَ الْمُعَذَّبِينَ (213)} صدق الله العظيم [الشعراء].
Allah Ta3ala Asema:{ Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo 210) Wala haitakiwi kwao, na wala hawawezi (211) Hakika hao wametengwa na kusikia (212) Basi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa (213)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuara].
Na kwavile uhakika ya hi Al’Quran inawasusumulia Watu Wa kitabu habari yale walio kua nayo katika Tawurat na Injili kwajili ya hivo waliya’kinisha wale ambao walio pewa kitabu kwamba hi ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao. Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَإِن كُنتَ فِي شَكٍّ مِّمَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ فَاسْأَلِ الَّذِينَ يَقْرَءُونَ الْكِتَابَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَاءَكَ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُمْتَرِينَ (94) وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِ اللَّهِ فَتَكُونَ مِنَ الْخَاسِرِينَ (95) إِنَّ الَّذِينَ حَقَّتْ عَلَيْهِمْ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ (96) وَلَوْ جَاءَتْهُمْ كُلُّ آيَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُا الْعَذَابَ الْأَلِيمَ (97)}
صدق الله العظيم [يونس].
Allah Ta3ala Asema:{ Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka (94) Na kabisa usiwe miongoni mwa wale wanao zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, usije kuwa katika walio khasiri (95) Hakika wale ambao neno la Mola wako Mlezi limekwisha thibitika juu yao, hawataamini (96) Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu (97)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].
Lakini wale ambao wamemwamini katika ma nasara katika zama ya kuteremshwa wao ni wale ambao lau wangelijua ni haki kati yao wangeifwata na pindi walipo msikia Nabi Ambae hajasoma anaisoma juu yao kama kwamba anawasomea juu yao ma aya katika Taurat na Injili pamoja yakua yeye hajasoma sio msomi hasomi wala handiki wakawa na yakini wale ambao wanataka kufwata haki miongoni mwao pindi walipo msikiza Muhammad Mtume Wa Allah wakati anapowasomea. Akasema Allah Ta3ala:
{لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ (82) وَإِذَا سَمِعُوا مَا أُنزِلَ إِلَى الرَّسُولِ تَرَىٰ أَعْيُنَهُمْ تَفِيضُ مِنَ الدَّمْعِ مِمَّا عَرَفُوا مِنَ الْحَقِّ ۖ يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاكْتُبْنَا مَعَ الشَّاهِدِينَ (83)وَمَا لَنَا لَا نُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَمَا جَاءَنَا مِنَ الْحَقِّ وَنَطْمَعُ أَن يُدْخِلَنَا رَبُّنَا مَعَ الْقَوْمِ الصَّالِحِينَ (84) فَأَثَابَهُمُ اللَّهُ بِمَا قَالُوا جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ وَذَٰلِكَ جَزَاءُ الْمُحْسِنِينَ (85) وَالَّذِينَ كَفَرُوا وَكَذَّبُوا بِآيَاتِنَا أُولَٰئِكَ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ (86)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi (82) NA WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini. Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia (83) Na kwa nini tusimuamini Mwenyezi Mungu na Haki iliyo tujia, na hali tunatumai Mola wetu Mlezi atuingize pamoja na watu wema (84) Basi Mwenyezi Mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, Bustani zipitazo mito katika yake; humo watadumu. Na haya ndiyo malipo ya wafanyao wema (85) Na wale walio kufuru na wakazikanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni (86)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
Na Aksema Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ وَصَّلْنَا لَهُمُ الْقَوْلَ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ (51) الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ مِن قَبْلِهِ هُم بِهِ يُؤْمِنُونَ (52) وَإِذَا يُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ قَالُوا آمَنَّا بِهِ إِنَّهُ الْحَقُّ مِن رَّبِّنَا إِنَّا كُنَّا مِن قَبْلِهِ مُسْلِمِينَ (53) أُولَٰئِكَ يُؤْتَوْنَ أَجْرَهُم مَّرَّتَيْنِ بِمَا صَبَرُوا وَيَدْرَءُونَ بِالْحَسَنَةِ السَّيِّئَةَ وَمِمَّا رَزَقْنَاهُمْ يُنفِقُونَ (54)} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema:{ Na sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka (51) Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki (52) Na wanapo somewa wanasema: Tunaiamini. Hakika hii ni Haki inayo toka kwa Mola wetu Mlezi. Hakika sisi kabla yake tulikuwa ni Waislamu, tulio nyenyekea (53) Basi hao watapewa ujira wao mara mbili kwa walivyo vumilia, na wakaondoa ubaya kwa wema, na wakatoa katika tuliyo waruzuku (54)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].
Na ama ma shetani watu katika ma yahudi wale ambao wamejua kwamba hakika Muhammad Mtume Wa Allah ni Mtume kutoka kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu kwa Al’Quran Al3adhim kama wanavo jua watoto wao ikawachukua utukufu kwa dhambi uhasidi kutoka kwa nafsi zao kwanini hakutumwa Nabi kutokana na ma Yahudi ? Wakaghadhibika na Mola Mlezi wao kwanini amemtuma ni katika warabu! Allah Akaghadhibika Juu Yao Akawalani akazipotoa nyoyo zao kufwata haki kwakua wao imebainika kwao kwamba ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao ikawachukua utukufu kwa dhambi kutofwata mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao wakafwata shetani rajim wakamwabudu pasi na Allah wala sio kwa kupotea kwa ma wanazuoni wao; Bali na wao wanajua. Allah akawashikanisha Wao mashetani katika ma jini ili wawasaidi kuwasaidia wawe mkono moja kuzuwia kufwata hi Al’Quran Al3adhim Ujumbe wa haki kwa ulimwengu, Wakambiwa wao na wale walio amini katika ma nasara na ma kasisi Na wamonaki:” Mcheni Allah na fwateni haki hakika mumejua kama tulivo jua kwamba ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Kwakua inawabainishia kwenu ma aya katika Taurat kwa Kiebrania nayo ni ya kiajami lakini nyinyi munaona imekuja katika Al’Quran Al3adhim Kwa Lugha ya kiarabu ilio baini”, Wakasema wale walio kanusha katika ma shetani watu katika ma yahudi:” lakini ispokua anaemfundisha ni fulani Kiebrania ma aya katika ukurasa wa kiebrania”, Alafu Akarudisha Jibu Allah Kwao Kwa Kauli Yake Ta3ala:
{وَلَقَدْ نَعْلَمُ أَنَّهُمْ يَقُولُونَ إِنَّمَا يُعَلِّمُهُ بَشَرٌ ۗ لِّسَانُ الَّذِي يُلْحِدُونَ إِلَيْهِ أَعْجَمِيٌّ وَهَٰذَا لِسَانٌ عَرَبِيٌّ مُّبِينٌ (103) إِنَّ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ لَا يَهْدِيهِمُ اللَّهُ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ (104) إِنَّمَا يَفْتَرِي الْكَذِبَ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ ۖ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْكَاذِبُونَ (105)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha.Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana (103) Hakika wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu hawaongoi, nao watapata adhabu chungu (104) Wanao zua uwongo ni wale tu wasio ziamini Ishara za MwenyeziMungu. Na hao ndio waongo (105)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].
Kwakua mtu katika bani israil nae ni katika kizazi mwana wakwanza katika bani israil ameamini Al’Quran Al3adhim kimoyo ndani inje na wao wanajua kwamba yeye ni katika wamonaki wao, Akasema Allah Ta3ala:
{وَشَهِدَ شَاهِدٌ مِّن بَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَىٰ مِثْلِهِ فَآمَنَ وَاسْتَكْبَرْتُمْ ۖ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ (10) وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لِلَّذِينَ آمَنُوا لَوْ كَانَ خَيْرًا مَّا سَبَقُونَا إِلَيْهِ ۚ وَإِذْ لَمْ يَهْتَدُوا بِهِ فَسَيَقُولُونَ هَٰذَا إِفْكٌ قَدِيمٌ (11) وَمِن قَبْلِهِ كِتَابُ مُوسَىٰ إِمَامًا وَرَحْمَةً ۚ وَهَٰذَا كِتَابٌ مُّصَدِّقٌ لِّسَانًا عَرَبِيًّا لِّيُنذِرَ الَّذِينَ ظَلَمُوا وَبُشْرَىٰ لِلْمُحْسِنِينَ (12)}صدق الله العظيم [الأحقاف].
Allah Ta3ala Asema:{ na akashuhudia shahidi miongoni mwa Wana wa Israili juu ya mfano wa haya, na akaamini, na nyinyi mnafanya kiburi? Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu (10) Na walio kufuru waliwaambia walio amini: Lau kuwa hii ni kheri, wasingeli tutangulia. Na walipo kosa kuongoka wakasema: Huu ni uzushi wa zamani (11) Na kabla yake kilikuwapo Kitabu cha Musa, kuwa chenye uwongozi na rehema. Na hichi ni Kitabu cha kusadikisha na kilicho kuja kwa lugha ya Kiarabu, ili kiwaonye walio dhulumu, na kiwe ni bishara kwa watendao mema (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahqaf].
Wakasema mashetani Watu katika kizazi wale tisa walisema kwawale walio amini katika warabu na wanataka kuwazuwia wale walioamini katika warabu kutoamini Al’Quran na kuifwata, Wakasema Walioamini katika warabu:” Kwani si wameiamini na wakaisadiki na kuifwata ma Kisisi na wamonaki wanatambuliwa wao kutoka kwa wanazuoni wa ki nasara?”, Wakarudisha majibu kwa waumini wa kiarabu wakasema:” Lau ingekua hi ni kheri hawange’tutangulia ma kisisi na wamonaki wa kinasara nayo”. Kwajili ya hayo Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لِلَّذِينَ آمَنُوا لَوْ كَانَ خَيْرًا مَّا سَبَقُونَا إِلَيْهِ ۚ وَإِذْ لَمْ يَهْتَدُوا بِهِ فَسَيَقُولُونَ هَٰذَا إِفْكٌ قَدِيمٌ (11)} صدق الله العظيم [الأحقاف].
Allah Ta3ala Asema:{ Na walio kufuru waliwaambia walio amini: Lau kuwa hii ni kheri, wasingeli tutangulia. Na walipo kosa kuongoka wakasema: Huu ni uzushi wa zamani (11)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alahqaf].
Ama badhi za ma aya amabzo hazikutajwa katika Taurati kwakua ni katika ma aya katika ukurasa wa Ibrahim amabae ni babu na kabla yake na haikutajwa katika Taurati kwajili ya hivo hawakupata ushuhuda wake ndani ya Taurat. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ لَمْ يَهْتَدُوا بِهِ فَسَيَقُولُونَ هَٰذَا إِفْكٌ قَدِيمٌ (11)} صدق الله العظيم،
{{Na walipo kosa kuongoka wakasema: Huu ni uzushi wa zamani (11)} Sadaqa Allah Al3adhim,
Kiasi yakua Hakika Al’Quran imetaja mengi katika ma aya za Taurati Na Injil Na kitabu cha mabayana amabcho kimeteremka juu ya Yusuf Juu yake sala na salam, Na Hivo hivo imetaja ma aya za visa za ma umma kabala yao na hakuzitaja Allah ndani ya Taurati, Na Kadhalika Alimwagiza Allah Mja Wake Na Mtume Wake Muhammad Mtume Wa Allah Kwamba awalinganie ma nassara watu wa Injil na hivo hivo watu wa Taurat katika ma yahudi kwa kuwahukumu kwa Al’Quran Al3adhim ili ahukumu baina yao kwa yale walio’khitilifiana ndani yake wakakata wale walio chukia haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na wakacukia Ridhwani Yake na wanatakia watu kukufuru haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao mpaka wawe sawa na wao katika Moto wa Jahanam. Akasema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِّنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَىٰ كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّىٰ فَرِيقٌ مِّنْهُمْ وَهُم مُّعْرِضُونَ (23) ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَن تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَّعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ (24)} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema:{ kwani hukuona wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa (23) Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].
Na tunachunguza kutokana na hayo kwamba wao wanajua kwamba hakika hi ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao wakaikata nayo wakasema kwa badhi yao ju ya badhi:
{قَالُوا لَن تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَّعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ (24)} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{ Wakasema haitotugusa Moto ispokua siku chache tu na ikawaghuri dini yao kwa yale waliokua wakizua (24)} Sadaqa Allah Al3adhim,
Na Haihat Haihat Lakini Ma shetani watu katika jahanam ndani kudumu milele mpaka atakapo Allah wala sio ma siku za kuhisabu, Na wanatamani lau watakufuru warabu na ma nassara na watu wote kama walivo kufuru ili wawe wote pamoja na wao katika moto wa Jahanam. Akasema Allah Ta3ala:
{وَدُّوا لَوْ تَكْفُرُونَ كَمَا كَفَرُوا فَتَكُونُونَ سَوَاءً} صدق الله العظيم [النساء:89].
Allah Ta3ala Asema:{ Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:89].
Na labda anataka moja ya waulizaji kusema:” Ewe Nasser Muhammad Al’Yamani, Kwanini Allah Ametaja vipoti viwili yani makundi ma wili Katika wanafik katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{فَمَا لَكُمْ فِي الْمُنَافِقِينَ فِئَتَيْنِ وَاللَّهُ أَرْكَسَهُم بِمَا كَسَبُوا ۚ أَتُرِيدُونَ أَن تَهْدُوا مَنْ أَضَلَّ اللَّهُ ۖ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَلَن تَجِدَ لَهُ سَبِيلًا (88) وَدُّوا لَوْ تَكْفُرُونَ كَمَا كَفَرُوا فَتَكُونُونَ سَوَاءً} صدق الله العظيم [النساء:88-89]؟".
Allah Ta3ala Asema:{ Mmekuwaje kuwa makundi mawili kwa khabari ya wanaafiki, na hali Mwenyezi Mungu amewageuza kwa sababu ya yale waliyo yachuma? Je! Mnataka kumwona mwongofu ambaye Mwenyezi Mungu amemhukumu kuwa kapotea? Na aliye mhukumu Mwenyezi Mungu kuwa amekwisha potea wewe hutampatia njia (88) Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa:88-89]?.”
Na Alafu Anarudisha jibu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhamamd Al’Yamani Juu Ya Wote Waulizaji Katika Ulimwengu Na Nasema: Basi wote makundi ma wili ni kizazi cha wale tisa katika mayahudi, ispokua kipoti kati yao kilifwata ma nasara dhahiri ya jambo ili wawe ni katika ma nasara na wao sio katika ma nasara bali kufuru na unafik wanataka kwamba wawe ma nasara katika ma ansar wa Mtume wa Allah Al’Masi7h isa mwan wa Maryam Baada Walipo Dhani kwamba tayari walimua ma shetani watu katika kizazi cha wale tisa, Na wakataka kundi kati yao kwamba waoneshe kwamba wao wameghadhibika kwa yale walio yatenda ma yahudi basi wakafwata ma nasaraa ili wawe miongoni mwao dhahiri ya jambo na wao wanaficha ukafiri na mbinu ili kuwapoteza ma nasara kufwata Mja wa Allah Na Mtume wake Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam Sala Allahu Aleyhi Na Juu Ya Mamake Al’Sadiqa Al’Qadisa Wa Usalim Tasliman.
Na wakfanya wanafik katika ma yahudi ambao nasara dhahiri ya jambo na wao wanaficha ukafiri wakafanya kutekeleza Mpango kwakusikizana na Taghut katika wanao mwabudu pasi na Allah shetani rajim, nayo ni kwamba waseme kwamba Allah ni Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam kuanda kutokana na wao kuwafitini waislamu katika ma nasara na waislamu alumiyin katika zama za mwisho wakati akitokezea taghut shetani rajim kwa watu amebeba shakhsia ya Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam aseme kua yeye ni Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu.
Na ama kundi lingine katika ma yahudi wamemfwata Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam dhahiri ya jambo na wao wanaficha ukafiri, Lakini wao wanataka kuzuwia kizazi cha waislamu alumiyin na ma nasara kutofwata ulinganizi wa Mja Wa Allah na Mtumw Wake Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam na kutofwata Ulinganizi wa Nabi Al’umi Mja Wa Allah Na Mtume Wake Muhamd Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhihim na juu ya wote Mitume Kutoka kwa Mola Mlezi Wao na Usalim Tasliman basi Mitume Wote Wa Allah wamekuja kwa ulinganizi moja peke kwa ma jini na watu kwamba wamwabudu Allah pekeyake hana mshirika nae. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ (25) وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا ۗ سُبْحَانَهُ ۚ بَلْ عِبَادٌ مُّكْرَمُونَ (26)} صدق الله العظيم [الأنبياء].
Allah Ta3ala Asema:{ Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu (25) Na wanasema: Arrahman, Mwingi wa Rehema, ana mwana! Subhanahu, Ametakasika na hayo! Bali hao (wanao waita wana) ni watumwa walio tukuzwa (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].
Na Hivo Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ (54) وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَىٰ تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ (55) وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ (56) مَا أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ (57) إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ (58) فَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذَنُوبًا مِّثْلَ ذَنُوبِ أَصْحَابِهِمْ فَلَا يَسْتَعْجِلُونِ (59) فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن يَوْمِهِمُ الَّذِي يُوعَدُونَ (60)} صدق الله العظيم [الذاريات].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi (54) Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini (55) Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi (56) Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe.(57) Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti (58) Hakika walio dhulumu wana fungu lao la adhabu kama fungu la wenzao. Basi wasinihimize (59) Ole wao walio ikanusha siku yao waliyo ahidiwa (60)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].
Lakini Allah tayari aliwafedhehe mbinu ya makundi ma wili katika Al’Quran Al3adhim:
{فَمَا لَكُمْ فِي الْمُنَافِقِينَ فِئَتَيْنِ وَاللَّهُ أَرْكَسَهُم بِمَا كَسَبُوا ۚ أَتُرِيدُونَ أَن تَهْدُوا مَنْ أَضَلَّ اللَّهُ ۖ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَلَن تَجِدَ لَهُ سَبِيلًا (88) وَدُّوا لَوْ تَكْفُرُونَ كَمَا كَفَرُوا فَتَكُونُونَ سَوَاءً} صدق الله العظيم [النساء:88-98].
Allah Ta3ala Asema:{ Mmekuwaje kuwa makundi mawili kwa khabari ya wanaafiki, na hali Mwenyezi Mungu amewageuza kwa sababu ya yale waliyo yachuma? Je! Mnataka kumwona mwongofu ambaye Mwenyezi Mungu amemhukumu kuwa kapotea? Na aliye mhukumu Mwenyezi Mungu kuwa amekwisha potea wewe hutampatia njia (88) Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa:88-89]
Na imebainika kwa waislamu katika ma nasara na waislamu maumiyin kwamba kulikua ndami yake makumdi ma wiliya wanafik katika ma shetani watj wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri ili kuzuwia watu kuabudu Allah Pekeyake na wanataka wamkufurj Allahna kumshirikisha nae yale hajateremsha nayo utawala, Na Ama Puti la wanafik baina ya ma nasara basi Allah aliwafedhehe kwa kufru yao kwa kauli yaokwamba hakika Allah yeye ni Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam, Na Wengine Wanasema BaliNi Mtoto Wa Allah, Lakini ispokua wanataka kuwatowa ma nasara kutoka kwa Nurkwemda kwa kiza kwa kukufuru kwa Allah ama kuzidisha katika dini ya nasara ili watimize kumshirikisha Allah.
Allah Ta3ala Akasema:{ Na lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini na wakachamngu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika Bustani zenye neema (65) Na lau kuwa wangeli ishika Taurati na Injili na yote waliyo teremshiwa kutokana na Mola wao Mlezi, basi hapana shaka wangeli kula vya juu yao na vya chini ya miguu yao. Wapo watu miongoni mwao walio sawa, lakini wengi wao wanayo yafanya ni mabaya mno (66) Ewe Mtume! Fikisha uliyo teremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi. Na ikiwa hukufanya hayo basi hukufikisha ujumbe wake. Na Mwenyezi Mungu atakulinda na watu. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri (67) Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili na yote mlio teremshiwa kutokana na Mola wenu Mlezi. Na hakika ulio teremshiwa wewe kutokana na Mola wako Mlezi yatawazidishia wengi katika wao uasi na ukafiri. Basi usiwasikitikie watu makafiri (68) Hakika walio amini, na Mayahudi na Masabii na Wakristo, walio muamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya mwisho, na wakatenda mema, basi hawatakuwa na khofu wala hawatahuzunika (69) Tulifanya agano na Wana wa Israili, na tukawatumia Mitume. Kila alipo wajia Mtume kwa wasio yapenda nafsi zao wengine waliwakanusha na wengine wakawauwa (70) Na wakadhani kuwa hapatakuwa majaribio; basi wakawa vipofu na viziwi. Kisha Mwenyezi Mungu akawapokelea toba zao. Kisha tena wengi katika wao wakawa vipofu na viziwi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona hayo wayatendayo (72) Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru (73) Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu (74) Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa (75) Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua (76) Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu bila ya haki. Wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu zamani, na wakawapoteza wengi, na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa (77) Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka (78) Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya (79) Utawaona wengi wao wanafanya urafiki na walio kufuru. Hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata Mwenyezi Mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu (80) Na lau wangeli kuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu, na huyu Nabii, na yaliyo teremshwa kwake, wasingeli wafanya hao marafiki. Lakini wengi katika wao ni wapotofu (81) Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi (82) NA WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini. Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia (83) Na kwa nini tusimuamini Mwenyezi Mungu na Haki iliyo tujia, na hali tunatumai Mola wetu Mlezi atuingize pamoja na watu wema (84) Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
Alafu wakaficha nyengi katika ma korasa za Taurat ya haki wakandika ma korasa kutoka kwa nafsi zao ili wadangaye juu ya Allah kusudi kutoka kwao na wanaficha haki. Akasema Allah Ta3ala:
{يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لِمَ تَلْبِسُونَ الْحَقَّ بِالْبَاطِلِ وَتَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَأَنتُمْ تَعْلَمُونَ (71) وَقَالَت طَّائِفَةٌ مِّنْ أَهْلِ الْكِتَابِ آمِنُوا بِالَّذِي أُنزِلَ عَلَى الَّذِينَ آمَنُوا وَجْهَ النَّهَارِ وَاكْفُرُوا آخِرَهُ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ (72) وَلَا تُؤْمِنُوا إِلَّا لِمَن تَبِعَ دِينَكُمْ قُلْ إِنَّ الْهُدَىٰ هُدَى اللَّهِ أَن يُؤْتَىٰ أَحَدٌ مِّثْلَ مَا أُوتِيتُمْ أَوْ يُحَاجُّوكُمْ عِندَ رَبِّكُمْ ۗ قُلْ إِنَّ الْفَضْلَ بِيَدِ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۗ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ (73) يَخْتَصُّ بِرَحْمَتِهِ مَن يَشَاءُ ۗ وَاللَّهُ ذُو الْفَضْلِ الْعَظِيمِ (74) ۞ وَمِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ مَنْ إِن تَأْمَنْهُ بِقِنطَارٍ يُؤَدِّهِ إِلَيْكَ وَمِنْهُم مَّنْ إِن تَأْمَنْهُ بِدِينَارٍ لَّا يُؤَدِّهِ إِلَيْكَ إِلَّا مَا دُمْتَ عَلَيْهِ قَائِمًا ۗ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَيْسَ عَلَيْنَا فِي الْأُمِّيِّينَ سَبِيلٌ وَيَقُولُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُمْ يَعْلَمُونَ (75) بَلَىٰ مَنْ أَوْفَىٰ بِعَهْدِهِ وَاتَّقَىٰ فَإِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُتَّقِينَ (76) إِنَّ الَّذِينَ يَشْتَرُونَ بِعَهْدِ اللَّهِ وَأَيْمَانِهِمْ ثَمَنًا قَلِيلًا أُولَٰئِكَ لَا خَلَاقَ لَهُمْ فِي الْآخِرَةِ وَلَا يُكَلِّمُهُمُ اللَّهُ وَلَا يَنظُرُ إِلَيْهِمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَلَا يُزَكِّيهِمْ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ (77)وَإِنَّ مِنْهُمْ لَفَرِيقًا يَلْوُونَ أَلْسِنَتَهُم بِالْكِتَابِ لِتَحْسَبُوهُ مِنَ الْكِتَابِ وَمَا هُوَ مِنَ الْكِتَابِ وَيَقُولُونَ هُوَ مِنْ عِندِ اللَّهِ وَمَا هُوَ مِنْ عِندِ اللَّهِ وَيَقُولُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُمْ يَعْلَمُونَ (78) مَا كَانَ لِبَشَرٍ أَن يُؤْتِيَهُ اللَّهُ الْكِتَابَ وَالْحُكْمَ وَالنُّبُوَّةَ ثُمَّ يَقُولَ لِلنَّاسِ كُونُوا عِبَادًا لِّي مِن دُونِ اللَّهِ وَلَٰكِن كُونُوا رَبَّانِيِّينَ بِمَا كُنتُمْ تُعَلِّمُونَ الْكِتَابَ وَبِمَا كُنتُمْ تَدْرُسُونَ (79) وَلَا يَأْمُرَكُمْ أَن تَتَّخِذُوا الْمَلَائِكَةَ وَالنَّبِيِّينَ أَرْبَابًا ۗ أَيَأْمُرُكُم بِالْكُفْرِ بَعْدَ إِذْ أَنتُم مُّسْلِمُونَ (80)} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema{ Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua (71) Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini yale waliyo teremshiwa wenye kuamini mwanzo wa mchana, na yakataeni mwisho wake; huenda wakarejea (72) Wala msimuamini ila anaye fuata dini yenu. Sema: Hakika uwongofu ni uwongofu wa Mwenyezi Mungu, kuwa apewe mtu mfano wa mlio pewa nyinyi au wakuhojini mbele ya Mola wenu Mlezi. Sema: Hakika fadhila zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mjuzi (73) Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kubwa (74) Na miongoni mwa Watu wa Kitabu yupo ambaye ukimpa amana ya mrundi wa mali atakurudishia, na miongoni mwao yupo ambaye ukimpa amana ya dinari moja hakurudishii isipo kuwa ukimsimamia kumdai. Haya ni kwa kuwa wakisema: Hatuna lawama kwa ajili ya hawa wasio jua kusoma. Na wanamzulia uwongo Mwenyezi Mungu, hali nao wanajua (75) Sivyo hivyo, bali anaye timiza ahadi yake na akamchamngu basi Mwenyezi Mungu huwapenda wachamngu (76) Hakika wanao uza ahadi ya Mwenyezi Mungu na viapo vyao thamani ndogo, hao hawatakuwa na sehemu ya kheri yoyote katika Akhera, wala Mwenyezi Mungu hatasema nao wala hatawatazama Siku ya Kiyama, wala hatawatakasa, nao watapata adhabu chungu (77) Na wapo baadhi yao wanao pindua ndimi zao katika kusoma Kitabu ili mdhanie kuwa hayo yanatoka Kitabuni, na wala hayatoki Kitabuni. Na husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Na wala hayatoki kwa Mwenyezi Mungu. Na wanamsingizia Mwenyezi Mungu uwongo na wao wanajua (78) Haiwezi kuwa mtu aliye pewa na Mwenyezi Mungu Kitabu na hikima na Unabii kisha awaambie watu: Kuweni wa kuniabudu mimi badala ya Mwenyezi Mungu. Bali atawaambia: Kuweni wenye kumuabudu Mola Mlezi wa viumbe vyote, kwa kuwa nyinyi mnafundisha Kitabu na kwa kuwa mnakisoma (79) Wala hatakuamrisheni kuwafanya Malaika na Manabii kuwa ni miungu. Je, atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi Waislamu (80)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].
Lakini “ Altama Alkubra” Msiba Mkuu Kwamba Waislamu katika zama za Kutumilizwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani wamekata ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim basi kama kwamba wao wamefwata mila ya kaumu Makafiri kwa Al’Quran Al3adhim katika ma yahudi na ma nasara! Basi nani atawakinga waislamu na makafiri kutokana na adhabu wingu la upepo kali lina nguvu mno la baridi kali sana ambao tuliahadharisha nayo kabla zamani na kwamba itawajia kutoka kaskazini mgharibi yani kwa upande wa kaskazini wa kutoka upande wa nyota ya pepezoni kwenda upande wa magharibi; rangi pana? basi nani atawaokowa na adhabu ya mvua bila ya mawingu na kijisayari cha mtingisho ewe Donald Tramp? Na enyi ma3ashara ya wakanushaji kwa kitabu kutokana na waajami na warabu hakika adhabu ya Allah imekua karibu kwa sababu ya kukata kwenu ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu Chake Al’Quran Al3adhim, Na Namshuhudisha Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wnu Kwamba hakika Yeye Ameghadhibika Kwajili ya Kitabu Chake enyi ambao mumeamini Mbinu ya ghadhabu yake na adhabu yake basi nani atawaokoa kutokana na adhabu ya Mola Wangu Mlezi Na Mola Wenu Mlezi Alioteremsha Kitabu anaotembeza mawingu mwenye kuwashinda ma hizbu? Basi Mcheni Allah Enyi Wenye Akili.
Na Pamoja Ya Kwamba Mimi Si hadid siku ya ya kwanza ya adhabu ya Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wenu lakini adhabu ya Allah imekurubia kwa wale wanamini mbinu ya Allah na Yeye Anajua yale yaliomo ndani ya nafsi zao kwamba wanataka kuzima Nur ya Allah kwa midomo yao na anakata Allah ila aitimize Nur Yake hata kama watachukia makafiri kudhihirika kwake, Na zimekurubia kwenu ma siku za nukhsi kusadikisha Ma Aya Baini hazikufuru nazo ispokua wahalifu, Wala Hakuwahadharisha Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Bali Agizo na Amri Kutoka Kwa Allah Kwenye Muhakam ilio wazi Mana Yake Kitabu Chake anawahadharisha wakanushaji wa kufwata Kitabu Chake Na Kumtii Khalifa Wake Kwenye Ardhi Amemtumiliza Allah Nasseran kwayale yalio teremka juu ya Khatim Al’Anbiya Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Na Wote Mitume kutoka kwa Mola Mlezi Wao Hatutafautishi baina Yoyote Katika Mitume Na Sisi Kwake Ni Waislamu.
Na Nakhitimisha Hi Bayana Ya Haki Ya Al’Quran Kwa Kuwabashiri wakanushaji wa Kuifwata Kwa Al’Qariaa Inafwata Qariaa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَإِنْ أَعْرَضُوا فَقُلْ أَنذَرْتُكُمْ صَاعِقَةً مِّثْلَ صَاعِقَةِ عَادٍ وَثَمُودَ (13) إِذْ جَاءَتْهُمُ الرُّسُلُ مِن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ وَمِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا تَعْبُدُوا إِلَّا اللَّهَ ۖ قَالُوا لَوْ شَاءَ رَبُّنَا لَأَنزَلَ مَلَائِكَةً فَإِنَّا بِمَا أُرْسِلْتُم بِهِ كَافِرُونَ (14) فَأَمَّا عَادٌ فَاسْتَكْبَرُوا فِي الْأَرْضِ بِغَيْرِ الْحَقِّ وَقَالُوا مَنْ أَشَدُّ مِنَّا قُوَّةً ۖ أَوَلَمْ يَرَوْا أَنَّ اللَّهَ الَّذِي خَلَقَهُمْ هُوَ أَشَدُّ مِنْهُمْ قُوَّةً ۖ وَكَانُوا بِآيَاتِنَا يَجْحَدُونَ (15) فَأَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِي أَيَّامٍ نَّحِسَاتٍ لِّنُذِيقَهُمْ عَذَابَ الْخِزْيِ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا ۖ وَلَعَذَابُ الْآخِرَةِ أَخْزَىٰ ۖ وَهُمْ لَا يُنصَرُونَ (16) وَأَمَّا ثَمُودُ فَهَدَيْنَاهُمْ فَاسْتَحَبُّوا الْعَمَىٰ عَلَى الْهُدَىٰ فَأَخَذَتْهُمْ صَاعِقَةُ الْعَذَابِ الْهُونِ بِمَا كَانُوا يَكْسِبُونَ (17) وَنَجَّيْنَا الَّذِينَ آمَنُوا وَكَانُوا يَتَّقُونَ (18)} صدق الله العظيم [فصلت].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi (13) Walipo wajia Mitume mbele yao na nyuma yao wakawaambia: Msimuabudu ila Mwenyezi Mungu! Wakasema: Angeli taka Mola wetu Mlezi bila ya shaka angeli wateremsha Malaika. Basi sisi hakika tunayakataa hayo mliyo tumwa (14) Ama kina A'di walijivuna katika nchi bila ya haki, na wakasema: Nani aliye kuwa na nguvu kushinda sisi? Kwani wao hawakuona kwamba Mwenyezi Mungu aliye waumba ni Mwenye nguvu kushinda wao? Na wao wakawa wanazikataa Ishara zetu (15) Basi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku za ukorofi, ili tuwaonjeshe adhabu ya kuwahizi katika uhai wa duniani, na bila ya shaka adhabu ya Akhera ina hizaya zaidi, na wala wao hawatanusuriwa (16) Na ama Thamudi tuliwaongoza, lakini walipenda upofu kuliko uwongofu. Basi uliwachukua moto wa adhabu ya kuwafedhehi kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyachuma (17) Na tukawaokoa walio amini na wakawa wanamcha-mngu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].
Na Enyi Ma3ashara Ya Ma Al’Ansar Al’Sabiqina Al’Akhyar musihadid Siku Ya Adhabu hata Kama Itakua baada Ya jisa Inaokuja, Basi nawahadharisha Kuhadid siku Ya Adhabu, Na Kumbukeni Amri Ya Allah Katika Muhakam ilio Wazi Mana Yake Kitabu Chake kwamba Musihadid SikuYa Adhabu Yake Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
[SOUND]{{ وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (25) قُلْ إِنَّمَا الْعِلْمُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ (26) }}[/SOUND] صدق الله العظيم [الملك].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli (25) Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].
Na Nakhitimisha Bayana Hi Hivo hivo Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
: {{ وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ سَيُرِيكُمْ آيَاتِهِ فَتَعْرِفُونَهَا ۚ وَمَا رَبُّكَ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ (93) }} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Na sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Yeye atakuonyesheni Ishara zake, na mtazijua. Na Mola wako Mlezi si mwenye kughafilika na myatendayo(93)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Na Kadhalika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{{ فَإِنَّمَا يَسَّرْنَاهُ بِلِسَانِكَ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ (58) فَارْتَقِبْ إِنَّهُم مُّرْتَقِبُونَ (59) }} صدق الله العظيم [الدخان].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka (58) Ngoja tu, na wao wangoje pia (59)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldukhan].
Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
اللهم قد بلغت اللهم فاشهد، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________