الإمام ناصر محمد اليماني
15 - شعبان - 1435 هـ
13 - 06 - 2014 مـ
05:37 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــ
البرهان اليقين على حقيقة النَّعيم الأعظم من نعيم جنَّات النَّعيم ..
بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة أنبياء الله وأئمة الكتاب وجميع المؤمنين بالله ربّ العالمين لا يشركون به شيئاً في كل زمانٍ ومكانٍ حتى يُلاقوا ربَّهم بقلوبٍ سليمةٍ وهم آمنون..
ويا أيّها الباحث عن البيّنة، لسوف نزيدك والعالمين عن آيات حقيقة النَّعيم الأعظم في قلوب قومٍ يحبّهم الله ويحبّونه، وسوف أُلقي بهذا السؤال من الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني إلى عبيد النَّعيم الأعظم من أنصار المهديّ المنتظَر في عصر الحوار من قبل الظهور والنَّصر والتّمكين في العالمين وأقول لكم: يا معشر عبيد النَّعيم الأعظم، فماذا أنتم فاعلون لو أفتاكم الله يوم يقوم الناس لربّ العالمين وكلّمكم تكليماً من وراء الحجاب وقال لكم: "يا معشر الوفد المكرمين، إنّ رضوان الله على عباده لن يتحقّق أبداً، وأمّا سبب حزن ربّكم في نفسه على الضالّين من عباده هو بسبب أنّه أرحم الراحمين وهم من رحمته يائسون". فماذا سوف يكون ردّكم يا معشر الوفد المكرمين عبيد النَّعيم الأعظم؟
ونكرر السؤال للمرة الثانية ونقول: فلو أنّ الله يخاطبكم يوم يقوم النّاس لربّ العالمين فيقول لكم: "إنّ رضوان نفس ربّكم لن يتحقّق على عباده الضالين ولن يذهب الحزنُ من نفس ربّكم بسبب أنّ ربّكم هو أرحم الراحمين، وسبب استمرارهم في العذاب هو بسبب يأسهم من رحمة الله أرحم الراحمين"، فماذا سوف يكون ردّكم يا معشر الوفد المكرمين من قومٍ يحبّهم الله ويحبّونه؟
ونكرر السؤال للمرة الثالثة: فماذا سوف يكون ردّكم لو علمتم أنّ رضوان نفس الله على عباده الضالّين لن يتحقّق أبداً خالداً مخلداً إلى ما لا نهاية؟ وربّما يودّ كافةُ عبيد النَّعيم الأعظم من أنصار المهديّ المنتظَر في عصر الحوار من قبل الظهور أن يرفع كلٌّ منهم اصبعه السّبّابة يطلب الإذن بالردّ على هذا الجواب. ومن ثمّ يقاطعهم المهديّ المنتظَر ناصر محمد وأقول لهم جميعاً: لا داعي أن تردّوا على الجواب فنحن نعلم ما هو جوابكم، حقيقٌ لا ننطق عن حقيقة النَّعيم الأعظم في قلوب عبيد النَّعيم الأعظم إلا بالحقِّ ذلك مما ألهمني وعلمني ربّي.
وأمّا جوابكم الواحد الموحّد فسوف تقولون:
"يا رب، ما دمت لن تحقّق لنا النَّعيم الأعظم رضوانَ نفسك وذهابَ حزنك فإنّ لعبيد النَّعيم الأعظم منك طلبٌ بلسانٍ واحدٍ موحّدٍ مجتمعين على قولٍ واحدٍ، فنحن لا نستطيع أن نرضى بنعيم جنّات النَّعيم وربنا متحسِّرٌ وحزينٌ على عباده الضالّين النّادمين على ما فرَّطوا في جنب ربّهم بعد أن ذاقوا وبال أمرهم، ونسألك اللهم بحقِّ عظيم نعيم رضوان نفسك على عبادك أن لا تجعلنا نرضى بنعيم جنّات النَّعيم خالدين مخلدين إلى ما لا نهاية ما دمت متحسِّراً وحزيناً، وحتى ولو لم يتحقق لنا نعيم رضوان نفسك على عبادك فلنا منك ربنا هذا الطلبُ؛ هو أن نبقى على الأعراف بين الجنّة والنار نبكي بدمعٍ منهمرٍ بشكلٍ مستمرٍ خالدين ما دام ربّنا أحبّ شيءٍ إلى أنفسنا متحسِّراً وحزيناً على عباده الضالّين، فما الفائدة من نعيم جنّات النَّعيم وربّنا متحسِّر وحزينٌ؟ فنحن نرضى أن يكون هكذا حالنا خالدين بين الجنّة والنّار ما دمت متحسِّراً وحزيناً، ولن نرضى بجنّات النَّعيم ما دمت متحسِّراً وحزيناً وأنت على ذلك من الشاهدين وكفى بالله شهيداً".
__________________
انتهى جواب عبيد النَّعيم الأعظم إلى ربّهم في هذا الحوار الافتراضي.
وبما أنّني أعلم علم اليقين أنّني الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني أقسم بمن رفع السّبع الشداد وثبّت الأرض بالأوتاد وأهلك ثمودَ وعاداً وأغرق الفراعنة الشداد أنّ في هذه الأمّة قوماً يحبّهم الله ويحبّونه سيجدون هذا الجواب حاضراً في قلوبهم وأنّهم حقاً سوف يكون هذا ردّهم لا شكّ ولا ريب.
ونأتي إلى الحقيقة الثانية، فلو أنّ الله يردُّ عليهم فيقول: "يا معشر العبيد الوفد المكرمين، ما دام هكذا بلا حدودٍ إصرارُكم على تحقيق رضوان نفس ربّكم وذهاب حزنه على الضالّين المعذَّبين من عبادي فلتقْذفوا بأنفسكم في نار جهنّم جميعاً إلى ما شاء ربّكم، فمن ثمّ أخرجكم منها وإيّاهم فأُدخلكم في رحمتي التي وسعت كل شيءٍ". فماذا تظنّونهم سوف يفعلون يا معشر المسلمين؟ وأقسم بالله العظيم ربّ السماء والأرض وما بينهما وربّ العرش العظيم لو يكون ذلك شرطاً لتحقيق نعيم رضوان نفس الربّ لرأيتم الوفد المكرمين قوماً يحبّهم الله ويحبّونه ذكوراً وإناثاً ينطلقون نحو أبواب جهنّم بأقصى سرعاتهم، وكلٌّ منهم يريد أن يسبق الوفد أجمعين إلى نار جهنم ليلقي بنفسه فيكون الأوّل في قعر نار جهنّم لو كان في ذلك الثمن أنْ يتحقق رضوان نفس الله على عباده الضالّين! والوفدُ المكرمون على ذلك من الشاهدين أنّ الإمام المهديّ ينطق بما يعلمونه حاضراً الآن في قلوبهم وهم على ذلك من الشاهدين.
وكذلك نفتي بالحقيقة الثالثة ونؤكد ذلك بالقسم بالله الواحد القهّار من يبعث من في القبور ويعلم خائنة الأعين وما تخفي الصدور وإليه النشور أنّهم لن يرضوا بملكوت الله أجمعين في جنّات النَّعيم من أدناها إلى الدرجة العاليّة الرفيعة التي تسمى بالوسيلة في جنة النَّعيم أقرب درجةٍ إلى ذي العرش العظيم وحتى لو جعل الله كلّاً منهم هو العبد الأقرب إلى عرش الربّ والعبد الأحبّ إلى نفس الربّ وأيَّد كلّاً منهم بأمر الكاف والنون فيقول للشيءٍ كن فيكون فإنّه لن يرضى أيّ من عبيد النَّعيم الأعظم بذلك كلّه حتى يتحقّق رضوان نفس أحبّ شيءٍ إلى قلوبهم الله أرحم الراحمين لا متحسِّراً ولا حزيناً، وهم على ذلك من الشاهدين لكونهم موجودون في هذه الأمّة.
وعلى كلٍّ منهم ممن أظهرهم الله على بياني هذا أن يُلقي بشهادة الحقِّ عنده من الله، ويُزكِّي الشهادة على هذه الحقيقة في قلبه بالقسم بالله العظيم من يحيي العظام وهي رميم ربّ السماوات والأرض وما بينهما وربّ العرش العظيم أنّ ما نطق به الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني في بيانه هذا عن الحقائق في قلوب قومٍ يحبّهم الله ويحبّونه أنّه قد وجده حاضراً في قلبه لا شكّ ولا ريب، فتذكروا قول الله تعالى:
{ وَلَا تَكْتُمُوا الشَّهَادَةَ وَمَنْ يَكْتُمْهَا فَإِنَّهُ آثِمٌ قَلْبُهُ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ عَلِيمٌ } صدق الله العظيم [البقرة:283].
المُعَلِِّم بحقيقة النَّعيم الأعظم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
__________________
ملاحظة إلى أحبتي في الله الباحثين عن الحقّ جميعاً :
سوف تجدون الشهادات تترى عجب العجاب! ومن ثمّ تتفكروا في هذه الحقيقة التي اجتمع عليها هؤلاء القوم من ذكرٍ وأنثى وهم لا يعرفون بعضهم بعضاً بل جماعات في بقاعٍ شتى في الأرض من مختلف دول البشر، فكيف أنّهم اجتمعوا على الحبِّ الأشدِّ والأعظم لله! ولذلك اتّخذوا عند الرحمن عهداً أن لا يرضوا حتى يرضى. إذاً يا إخواني، فهنا تتفكرون في أنفسكم كيف وُجِدَتْ هذه الحقيقة في قلوب هؤلاء، فلا بدّ أنّ وراء ذلك سرٌّ عظيمٌ؟ ومن ثمّ يساعدكم الإمام المهديّ على معرفة هذا السرِّ العظيم؛ بل أعظم سرٍّ في الكتاب على الإطلاق حقيقة اسم الله الأعظم؛ بل هو أكبر آيةٍ في الوجود لحقيقة وجود الربّ سبحانه، وتلك حقيقة رضوان نفس الله على عباده.
وربّما يودّ أحدُّ أحبتي علماء المسلمين المكرمين أنْ يقول: "مهلاً مهلاً يا ناصر محمد، فكلنا نحبُّ الله، ومن ذا الذي لا يحبّ الله من المسلمين؟". فمن ثمّ يرد ُّعليه الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأقول: اللهم نعم فكلُّ مسلمٍ يحبّ الله، ولكن فهل نُلتُم محبة الله؟ فوالله لا تشعرون بما يشعر به عبيد النَّعيم الأعظم حتى تكونوا من قومٍ يحبّهم الله ويحبّونه، وهم الذين تفكّروا في حال ربّهم في بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، وتفكروا كيف لو أنّ أحدهم يرى أمّه أو أبيه أو ابنه أو أخيه يصطرخ في نار جهنّم؛ فكيف سوف يكون حاله؟ وربّما تودُّ إحدى الأمهات أن تقول: "يا ناصر محمد، والله لن أهنأ بجنّة ربّي وأنا أرى ولدي يتعذّب في نار الجحيم، فيا حسرتي على ولدي لو يكون من أصحاب الجحيم". فمن ثمّ يردّ عليها الإمام المهديّ وأقول لها: إنّما أنتِ من عبيد الله أرحم الراحمين، فإذا كان هذا حالك فتفكّري كيف حال من هو أرحم من الأمّ بولدها؟ اللهَ أرحمَ الراحمين.
وربّما يودُّ كافةُ علماء المسلمين أن ينطقوا بلسانٍ واحدٍ فيقولون: "مهلاً مهلاً يا ناصر محمد اليماني، فإنّ الله ليس بحزينٍ على الكافرين المعرضين عن دعوة رسل ربّهم". فمن ثمّ يردُّ عليهم الإمام المهديّ ناصر اليماني وأقول: ألا تعلمون أنّ الرسل المكرمين يتحسّرون على الكفار المعرضين المكذِّبين بدعوتهم؟ وعلى رأس المتحسِّرين خاتم الأنبياء والمرسلين محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم، ولذلك خاطب الله نبيَّه، وقال تعالى: {فَلَا تَذْهَب نَفْسك عَلَيْهِمْ حَسَرَات} صدق الله العظيم [فاطر:8].
وإنّما الحسرة عليهم هي الأسف والحزن على الكفار المعرضين، ولذلك خاطب الله نبيَّه، وقال الله تعالى: {فَلَعَلَّكَ بَاخِعٌ نَفْسَكَ عَلَىٰ آثَارِهِمْ إِنْ لَمْ يُؤْمِنُوا بِهَٰذَا الْحَدِيثِ أَسَفًا} صدق الله العظيم [الكهف:6].
ومن ثمّ يردّ علينا علماء الأمّة بالإقرار بحسرة محمدٍ رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- على الكافرين، ومن ثم يقيم الإمام المهديّ عليهم الحجّة ونقول: يا أحبتي في الله، إذا كان هذا حال محمدٍ رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- متحسِّراً وحزيناً على الكافرين المعرضين برغم أنهم لا يزالون مصرين على كفرهم وعنادهم ولذلك نهى الله نبيَّه أن يتحسّر عليهم وهم لا يزالون مُصرّين على كفرهم وعنادهم، ولكنَّ ربّ العالمين تجدونه في الكتاب متحسِّراً على عباده الذين أصبحوا نادمين على ما فرَّطوا في جنب ربّهم، فحين جاءتهم الحسرة في أنفسهم على ما فرطوا في جنب ربّهم. تصديقاً لقول الله تعالى: {أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّـهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم[الزمر].
فمن ثم تأتي الحسرةُ في نفس الله على عباده النادمين على ما فرّطوا في جنب ربّهم من بعد أن أهلكهم الله وهم عن دعوة الحقِّ معرضون، وقال الله تعالى: {إِنْ كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ (29) يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (30) أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ (31) وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ (32)} صدق الله العظيم [يس].
فهذا هو حال اللهِ أرحم الراحمين، فما خطبكم تسألون عن أحوال بعضكم بعضٍ ولا تتفكّرون كيف حالُ حبيبَكم الله أرحم الراحمين؟ وما أرحمه من إلهٍ وحده لا شريك له.
ويا معشر الصالحين، فهل ترون أنّكم سوف تهنأون بالحور العين وجنّات النعيم وربّكم متحسِّر وحزينٌ؟ فإن كنتم ترون أنّكم سوف تكونون سعداء بجنّات النّعيم وربّكم متحسِّر وحزينٌ فهذا شأنكم، ولكن أقسم بالله العظيم البرّ الرحيم لو قدَّر الله بعث الإمام المهديّ في عصر الأنبياء وبيَّن لكافة الأنبياء والمرسلين حقيقة اسم الله الأعظم لما دعا نبيٌّ على قومه، ولاستمروا في دعوتهم حتى يجعلوا الناس أمّةً واحدةً على صراطٍ مستقيمٍ لكون الأنبياء والمرسلين يحبّون الله كما يحبّ اللهَ قومٌ يحبّهم الله ويحبّونه، ولكنَّ الله مَنَّ على هذه الأّمّة أنْ قدر بعثَ الإمام المهديّ فيهم ليُعْلِمهم بالحقيقة العظمى في الكتاب ولذلك خلقهم ليتّخذوا رضوان الله غايةً فلا يرضوا حتى يرضى. وأمّا الذين يتّخذون رضوان الله وسيلةً ليدخلهم جنّته فلهم ذلك، إنّ الله لا يخلف الميعاد.
ولكنّني الإمام المهديّ ناصر محمد أقول: يا عجبي الشديد الشديد؛ تهنأ قلوبُ العبيد بالحور العين وجنّات النعيم وأحبّ شيءٍ إلى أنفسهم الربِّ المعبود متحسِّر وحزين! هيهات هيهات وربّ الأرض والسماوات لن يرضى الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني حتى يرضى أحبُّ شيءٍ إلى نفسي في الوجود الله أرحم الراحمين، فلهُ أعبدُ وله أسجدُ والحمد لله ربّ العالمين.
وننتظر الشهادات، وتدبّروها، فسوف تأتينا من معشر قومٍ يحبّهم ويحبّونه من مختلف دول العالمين، فكونوا على شهاداتهم من الشاهدين، وبلّغوا بعضكم بعضاً يا معشر الأنصار بهذا البيان ذي الأهمية الكبرى ليحضروا فيلقوا بشهاداتهم بالحقّ.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الذليل على المؤمنين العزيز على شياطين البشر؛ المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
_________________
[ لقراءة البيان من الموسوعة ]
https://nasser-alyamani.org./showthread.php?t=18430
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
15 - شعبان- 1435 هـ
13 - 06 - 2014 مـ
05:37 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://nasser-alyamani.org./showthread.php?p=147031
ــــــــــــــــــــــــ
البرهان اليقين على حقيقة النَّعيم الأعظم من نعيم جنَّات النَّعيم..
Ushuhuda wa yakini wa uhakika wa Neema Kuu ‘Al’Na3im Al’A3dham” kuliko Neema ya mabustani ya Neema..
Bismillah Al’Rahman A’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya wote Ma Nabi Wa Allah Na Ma Imamu Wa Kitabu Na Waumini Wote Kwa Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Hawamshirikishi Na Yeye Kitu Katika Kila Zama Na Mahali Mpaka Wakutane Na Mola Wao Kwa Moyo Zilio Salimika Na Hali Wao Wako salama..
Na Ewe ambae ni mtafiti kuhusu Bayana, Hakika Tutakuzidisha na walimwengu kuhusu Ma Aya Alama ya uhakika wa Neema Kuu “Al’Na3im Al’A3dham” Kwenye Nyoyo za kaumu Wanapendwa na Allah na wanampenda, Na nitaenda kuweka kwa hili suali; Kutoka kwa Al’imam Al’Mhahdi Nasser Muhammad Al’Yaman kwa watumwa wa “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu Katika Ma Anssar Wa Al’Mahdi Al’Muntadhar katika zama za mazungumzo kabala kudhihirika na ushindi na kumakini katika ulimwengu na nawambia nyinyi: Enyi ma3ashara ya watumwa wa “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu, Basi nini nyinyi mutafanya lau atawapa fatwa Allah siku watakapo simama watu kwa Mola Mlezi wa ulimwengu Akazungumza na nyinyi kuzungumza nyuma ya pazia Akawambia nyinyi:” Enyi ma3ashara ya wahishimiwa waliokirimiwa, Hakika Radhi Ya Allah juu ya waja wake haitopatikana kutimu kabisa, Na ama sababu ya huzuni ya Mola Mlezi wenu katika Nafsi yake kwa walio potea katika waja wake ni kwamba Allah yeye ndio Arhama mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma na wao kwa Rahma yake wamekata tama”. Basi nini litakua jibu lenu enyi ma3ashara ya wahishimiwa walio kirimiwa watumwa wa “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu?
Na narudia tena suali kwa mara ya pili na nasema: Basi Lau Allah Anawakhutubia siku watakapo smama watu kwa Mola Mlezi wa ulimwengu Awambie Nyinyi: “ Hakika Ya Ridhwan Ya Nafsi Ya Mola Mlezi Wenu Haitopatikana kutimu juu ya waja wake walio potea na wala haito’ondoka huzuni katika Nafsi ya Mola wenu Mlezi kwasababu Mola Mlezi wenu Yeye ndio ni mwenye Hura Mrahimu zaidi kuliko kila kitu, Na sababu ya kuendelea kwao katika adhabu ni kwasababu ya kukata kwao tama na Rahma ya Allah Arhama Arahimin”, Basi Nini litakua Jibu lenu enyi ma3ashara ya wahishimiwa waliokirimiwa katika kaumu Allah Anawapenda na wanampenda?
Na Nakariri Suali kwa mara ya tatu: Basi nini litakua jibu lenu lau mumejua kwamba Radhi Ya Nafsi Ya Allah juu ya waja wake walio potea haitotimu kupatikana kabisa milele haina mwisho? Na labda wanataka wote watumwa wa Al’N3im Al’A3dham Neema Kuu katika ma Anssar wa Al’Mahdi Al’Muntadhar katika Zama za mazungumzo kabla ya kudhihirika kwamba ainuwe kila moja kidole chake kuomba idhini kujibu. Na alafu anwakatizia wote Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad niwambie wao wote: Haina haja murudishe jibu hakika sisi tunajua nini jibu lenu, Ukweli sizungumzi juu ya uhakika wa “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu ndani ya nyoyo za watumwa wa Al’Na3im Al’A3dham Neema Kuu ispokua kwa haki hivo ndio alivo nipa ilham na Akanifundisha Mola Mlezi wangu.
na ama jibu lenu ambalo ni moja kwa pamoja basi mutaenda kusema:” Eee Mola Mlezi Wetu, Ma damu wewe hutotutimizia sisi Al’Na3im Al’A3dham Neema Kuu Ambao ni Radhi ya Nafsi Yako na kuondoka huzuni kwako na maskitiko basi hakika ya watumwa wa Al’Na3im Al’A3dham Neema kuu wana ombi kwako kwa ulimi moja kwa pamoja tumekusanyika katika kauli Moja, Basi Hakika sisi hatuwezi kuridhika na Neema ya ma bustani ya Neema na Mola Mlezi wetu ana huzuni na maskitiko juu ya waja wake walio potea na wana majuto kwa yale walio poteza kwa Mola Mlezi wao baada ya kupata malipo ya maovu yao, Na tunakuomba Allahuma kwa haki ya Uwadhimu wa Neema Ya Radhi Ya Nafsi Yako juu ya waja wako kwamba Usitufanye turidhike na Neema ya Mabustani ya Neema milele kabisa mpaka haina mwisho madamu Wewe Una Majuto na Huzuni,Na hata kama haitotimu kupatikana kwetu Neema Ya Ridha Yako ju ya waja Wako basi hakika sisi Ewe Mola Mlezi wetu tuna hili ombi kwako; Nalo ni kwamba tubaki Hapa Alaaraf baina Mabustani na baina ya Moto twalia kwa machozi yanao tiririka kwa namna ya kuendelea milele madamu Mola Mlezi wetu Mpendwa zaidi kuliko nafsi zetu Ana Majuto Na Huzuni ju ya waja wake walio potea, Basi nini faidia ya Neema Ya Mabustani Ya Neema Na Mola Mlezi wetu Ana Majuto Na Huzuni? Kwa hakika sisi tutaridhika Kuka hivi ndio hali yetu milele haina mwisho baina ya pepo na moto madamu Wewe Una Majuto Na Maskitiko, Na hatutoridhika kwenye mabustani ya Neema madamu Wewe Una Majuto Na Huzuni Na Wewe Kawa Hayo ni Katika Mashahidi na Tosha Allah Kua Shahidi”.
Limeisha Jibu la watumwa wa Neema Kuu “Al’Na3im Al’A3dham” Kwa Mola Mlezi Wao Katika Haya Mazungumzo Ambao ni iftiradhi.
Na kwa vile mimi najua kwa kujua kwa yakini Kwamba Hakika Mimi Ni Al’Imam Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Natoa Qasam Kiapo Kwa Yule Alie inua Mbingu Saba zenye nguvu na akakitisha Ardhi kwa majabali Na Akangamiza kina Thamud Na Aad Na Akazamisha Mafirauni wenye nguvu hakika katika Umma Hu wako kaum Wanapendwa Na Allah Na Wanampenda watalipata hili jibu limehudhuria liko katika nyoyo zao na haki hili ndio litakua Jibu lao hapana shaka wala utetanishi.
Na naja kwenye Uhakika wa Pili, Basi hakika ya kwamba lau Allah Amerudisha jibu juu yao basi Aseme:” Enyi ma3ashara ya watumwa ambao wahishimiwa watukufu, Madamu hivi bila mipaka nyinyi munasisitiza kwajili itimu kupatikane Radhi ya Nafsi ya Mola wenu Mlezi na Kuondosha huzuni yake juu ya waja wake walio potea wanao adhibiwa katika waja wake basi mujitupe Nafsi zenu katika Moto wa jahanam nyote Mpaka Atakapo taka Mola Mlezi wenu, Alafu niwatowe ndani yake pamoja na wao basi ndio Niwaingize kwenye Rahma Yangu Ambao imetosheleza kila kitu”.
Basi nini munawadhani kwao watafanya enye ma3ashara ya waislamu?
Natoa Qasam Billah Al3adhim Mola Mlezi Wa Mbingu Na Ardhi na viliomo baina yao na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu lau itakua hio ndio sharti ili ipatikane kutimu Neema ya Radhi ya Nafsi Ya Mola Mlezi Basi ungewaona wahishimiwa watukufu kaum wanapendwa Na Allah na wanampenda wanaume kwa wanawake Wametoweka kwa mbio zao kulekea moto kwa mbio zao zote, Na kila moja ataka kuwashinda wahishimiwa watukufu wote awe wakwanza katika shimo la moto ya jahanam lau itakua hio ndio thamani ya kutimu kupatikane Radhi ya Nafsi ya Allah kwa waja wake walio potea! Na Wahishimiwa Watukufu kwa hayo ni mashahidi kwamba hakika Al’Imam Al’Mahdi anatamka kwa yale wanayo yajua iko sasa hivi imehudhuria kwenye Nyoyo zao na wao ju ya hayo ni katika mashahidi.
Na hivo hivo natoa Fatwa kwa uhakika wa tatu na tunahakikisha hayo kwa kutoa kiapo Qasam Billah Al’Wahid Al’Qahar mwenye kufufua waliomo makaburini na Anae juwa ukhaini wa macho na kinacho ficha vifuani na kwake maregeo kwamba wao hawatoridhika na ufalme wa Allah wote katika ma bustani ya Neema kutoka ya chini mpaka daraja ya juu ilio inuliwa ambao inaitwa Al’Wasila katika bustani ya Neema daraja ambao ilio karibu kwa Arshi Kuu na hata kama lau atajalia Allah kwa kila moja wao yeye ndio mja alio karibu kwa Arshi ya Mola Mlezi na ni mja Anaopendwa Zaidi kwa Nafsi ya Mola Mlezi na akawapa mkono kila moja wao kwa Amri ya kaf na nun basi aiyiambie kitu kua na kinakua basi hakika yeye hatoridhika yoyote katika watumwa wa Al’Na3im Al’A3dham Neema Kuu Kwa yote hayo mpaka itimu kupatikane Radhi ya Nafsi Ya Mpendwa zaidi katika nyoyo zao Allah Arhama Arahimin Hana Majuto wala Huzuni na wao kwa hayo ni katika mashahidi kwakua wao wako katika umma huu.
Na juu ya kila moja wao wale ambao Allah Amewaonesha Bayana yangu hi atowe ushahidi wake wa haki kutoka kwa Allah, Na aitakase Ushuhuda kwa uhakika hu katika moyo wake kwa kutoa Qasam kiapo kwa Allah Al3adhim Mwenye kuhuyisha mifupa ikiwa mchanga Mola Mlezi wa Mbingu na Ardhi Na viliomo baina yao na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu kwamba hakika alio tamka nayo Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani kwenye Bayana Yake Hi kuhusu ukweli wa ambao uko katika nyoyo za kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda kwamba hakika yeye ameipata iko imehudhuria katika Moyo wake hapana shaka wala utatanishi, Basi kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَلَا تَكْتُمُوا الشَّهَادَةَ وَمَنْ يَكْتُمْهَا فَإِنَّهُ آثِمٌ قَلْبُهُ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ عَلِيمٌ } صدق الله العظيم [البقرة:283].
Allah Ta3ala Asema: { Na wala musifiche mukanyamazia ushuhuda na yule atajae kuificha basi hakika yeye amepata dhambi kwa moyo wake Na Allah kwa Yale Munayo yafanya Anajua} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:283].
Mwalimu Wa Uhakika Wa “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
المُعلِم بحقيقة النَّعيم الأعظم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــ
Kumbuka kwa wapendwa wangu kwa Allah watafiti wa haki wote:
Hakika mutapata ushuhuda zinamiminika ajabu ya maajabu! Na alafu mutatafakari kwa uhakika hu ambayo wamekusanyika juu yake hawa kaumu wanaume kwa wanawake na wao hawajuwani badhi yao kwa badhi; Bali ma jama kutoka sehu tafauti katika Ardhi kutoka mataifa mbali mbali ya watu, Basi vipi wao wekusanyika kwa Mapenzi zaidi na makuu ya Allah! Na kwajili ya hivo wamechukuwa kwa Arahman Ahdi kwamba hawatoridhika mpaka Aridhike, Kwahivo Enyi Ndugu zangu, Basi hapa ndio mutatafakari kwenye nafsi zenu vipi imepatikana uhakika hu kwenye nyoyo za hawa, Basi hapana budi kwamba kuna siri Kuu nyuma yake? Na alafu anawasaidia Al’Imam Al’Mahdi kujuwa hi siri Adhimu; Bali ni Siri Kuu kabisa katika kitabu uhakika wa jina La Allah Kuu; Bali ni Aya kuu katika ulimwengu kwa uhakika wa kuweko Mola Mlezi Subhanahu Ametakasika, Na hio ni uhakika wa Radhi ya Nafsi ya Allah ju ya waja wake.
Na labda huwenda moja katika wapendwa wangu wanazuoni wa waislamu walio kirimiwa Atake Kusema:” Taratibu taratibu Ewe Nasser Muhammad, Hakika sote tunampenda Allah, Na nani huyo ambae hampendi Allah katika waislamu?”.
Na alafu anarudisha jibu kwake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Allahuma Ndio basi hakika kila mwislamu anampenda Allah, Lakini jee mumepata kupendwa na Allah? Basi Wallhi hamuhisi yale wanayo yahisi nayo watumwa wa Al’Na3im Al’A3dham Neema Kuu mpaka muwe katika kaum wanapendwa Na Allah na Wanampenda, Na hakika wao ndio wametafakari katika hali ya Mola Mlezi wao kwenye Bayana za Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Wakatafakari kwamba vipi lau kwamba moja wao anaona mamake ama babake ama mtoto wake ama nduguyake anapiga makelele katika Moto wa Jahanam; Basi vipi itakua hali yake? Na labda anataka moja katika ma mama aseme:” Ewe Nasser Muhammad, Wallahi sitopata raha katika Bustani la Mola Mlezi wangu na mimi naona mtoto wangu anapata adhabu katika moto wa jahim, Basi majuto yangu juu ya mtoto wangu lau atakua ni katika miongoni mwa watu wa Jahim”.
Na Alafu anarudisha jibu kwake Al’Imam Al’Mahdi na nimwambie yeye: Ispokua wewe ni miongoni mwa waja wa Allah Arhama Arahimin, Basi ikiwa hi ndio hali yako basi tafakari vipi itakua hali ya yule ambae ni mrahimu zaidi kuliko mama kwa mtoto wake Allah Arhama Arahimin.
Na Labda wanataka wote wanazuoni wa waislamu watamke kwa ulimi moja waseme:” Taratibu taratibu eww Nasser Muhammad Al’Yamani, Basi hakika Allah hana huzuni juu ya makafiri wanao kanusha ulinganizi wa Mitume wao kwa Mola Mlezi wao”. Na alafu anarudisha jibu kwao Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Hivi hamujuwi kwamba Mitume Walio kirimiwa wanajuta juu ya makafiri wanao kanusha wanao kadhibu ulinganizi wao? Na katika wanao juta Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mitume Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi wa salam. Na kwajili ya hivo Alimkhutubia Allah Nabi wake Akasema Allah Ta3ala:
{ فَلَا تَذْهَب نَفْسك عَلَيْهِمْ حَسَرَات } صدق الله العظيم [فاطر:8].
Allah Ta3ala Asema: { Basi nafsi yako isijihiliki kwa kuwasikitikia} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir:8].
ispokua Kuskitika ju yao ni majuto na huzuni ju ya makafiri wanaokanusha, Na kwajili ya hivo Alimkhutubia Allah Nabi wake Akasema Allah Ta3ala:
{ فَلَعَلَّكَ بَاخِعٌ نَفْسَكَ عَلَىٰ آثَارِهِمْ إِنْ لَمْ يُؤْمِنُوا بِهَٰذَا الْحَدِيثِ أَسَفًا } صدق الله العظيم [الكهف:6].
Allah Ta3ala Asema: { Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:6].
Na alafu wanarudisha juu yetu jibu wanazuoni wa umma kwa kukiri kwa majuto ya Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ana Majuto na Huzuni ju ya makafiri wanaokanusha kiasi yakwamba wao bado wanazali wanasisitiza kwenye ukafiri wao na ukaidi wao na kwajili ya hivo Alimkataza Allah Nabi Wake kwamba Asijute ju yao na ilhali wao bado wanazali wanasisitiza kwenye ukafiri wao na ukaidi wao, Lakini Mola Mlezi Wa Ulimwengu mutampata kwenye kitabu anamajuto ju ya waja wake wale ambao wamekua na majuto kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao, Basi pindi ilipo wajia majuto katika nafsi zao kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّـهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ ﴿٥٦﴾ } صدق الله العظيم[الزمر]،
Allah Ta3ala Asema:{ Isije ikasema nafsi: Ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa Mwenyezi Mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].
Alafu ndio inakuja majuto katika Nafsi Ya Allah ju ya waja wake waliojuta kupoteza upande wa Mola Mlezi wao baada Kuwangamiza Allah na wao kwa ulinganizi wa haki wanakanusha. Akasema Allah Ta3ala:
{ إِنْ كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ (29) يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (30) أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ (31) وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ (32) } صدق الله العظيم [يس].
Allah Ta3ala Asema: { Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
Basi hi ndio hali ya Allah Mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma wote na muna jambo gani munaulizana kuhusu hali ya badhi yenu kwa baadhi wala hamutafakari vipi hali ya Mpendwa Wenu Allah Mwenye Huruma zaidi kuliko wenye huruma wote? Na Ni Mungu Mwenye huruma Kiyasi gani pekeyake hana mshirika na yeye.
Na enyi ma3ashara ya watu wema, Na je munaona nyinyi mutafurahia ma huralain na mabustani ya Neema Na Mola Mlezi wenu Ana majuto na huzuni? Basi ikiwa nyinyi munaona kwamba mutakua na furaha kwenye mabustani ya Neema na Mola Mlezi wenu Ana Majuto na Huzuni Basi hio ni Shauriyenu, Lakini Natoa Qasam kiapo Billah Al3adhim Al’Bar Al’Rahim Lau Alikadiria Allah kwa kutumilizwa kwa Al’Imam Al’Mahdi Katika zama za Ma Nabi Na Aka’wabainishia Ma Nabi Wote Na Mitume Uhakika Wa Jina La Allah Kuu Hangeomba Nabi ju ya kaumu yake, Na wange’endelea kuwalingania mpaka wafanye watu umma moja kwenye njia ilio nyoka kwakua Ma Nabi Na Mitume Wote wanampenda Allah kama wanavo mpenda Allah kaumu Anawapenda Allah Na Mwanampenda, Lakini Allah Amewatunuku Umma hu kwamba Amekadiria kutumilizwa kwa Al’Imam Al’Mahdi Kwao ili awafundishe Uhakika Mkuu Katika Kitabu na kwajili ya hayo ndio Aliwaumba ili wafanye Ridhwan Ya Allah Ndio Lengo basi hawatoridhika mpaka Aridhike, Ama Wale wanaifanya Ridhwan Ya Allah ni Wasila Njia ili Awaingize Mabustani Yake basi watapata hayo, Hakika Allah Hakhalifu Magano Yake.
Lakini mimi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Nasema: Eee Ajabu yangu sana sana; Zinafurahia nyoyo za waja kwa ma’huru alaini na mabustani ya Neema Na wanaompenda zaidi katika nafsi zao Mola Mlezi Anae Abudiwa Ana Majuto Na Huzuni! Haihat Haihat Na Mola Mlezi Wa Ardhi Na Mbingu Katu haturidhika Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani mpaka Aridhike Ninae Mpenda zaidi kwa nafsi yangu katika ulimwengu Allah Mwenye Huruma zaidi kuliko wenye huruma, Basi Namwabudu Yeye Na namsujudia Yeye na Al’hamdulillah Rabil3alamin.
Na tunasubiri Kutolewe Ushahidi, Basi pelelezeni, Itatujia kutoka kwa kaumu Anawapenda na wanampenda kutoka mataifa ya ulimwengu tafauti, Basi kuweni kwa ushahidi wao ni katika mashahidi, Na mubalighisheni kwa baadhi yenu ju ya badhi enyi ma3ashara ya ma Ansar kwa hi Bayana Yenye Umuhimu Mkuu ili wahudhurie watowe Ushahidi wao kwa haki.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..
Nduguyenu dhalili juu ya waumini mwenye nguvu ju ya mashetani binadamu: Al’Mahdi Al’Muntadhat Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الذليل على المؤمنين العزيز على شياطين البشر؛ المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ
======== اقتباس =========
اقتباس المشاركة 147914 من موضوع البرهان اليقين على حقيقة النَّعيم الأعظم من نعيم جنَّات النَّعيم ..
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..