:Bayana Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَمَا تَنفَعُهُمْ شَفَاعَةُ الشَّافِعِينَ }
صدق الله العظيم..


{Lakini Haitowafa Maombezi Ya Waombelezaji }
Sadaqa Allah Al3adhim..

الإمام ناصر محمد اليماني
05 - 07 - 1435 هـ
04 - 05 - 2014 مـ
03:41 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
Bayana Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ فَمَا تَنفَعُهُمْ شَفَاعَةُ الشَّافِعِينَ } صدق الله العظيم..
{Lakini Haitowafa Maombezi Ya Waombelezaji }
Sadaqa Allah Al3adhim..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Na Ali Zao Walio Wazuri Kutoka Wa Kwanza Wao Mpaka Aliokhitimisha Kwao Muhammad Mtume Wa Allah Na Juu Ya Wote Waumini Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Dini, Ama Ba'ada Ya Hapo..

Amesema Allah Ta3ala:

{فَمَا تَنفَعُهُمْ شَفَاعَةُ الشَّافِعِينَ} صدق الله العظيم [المدثر:48]
Allah Ta3ala Asema:
{{Lakini Haitowafa Maombezi Ya Waombelezaji } Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir:48], Na Je Anakusudia Allah Kwamba Waombezi Wale Ambao Wanawaitakido Kwa Kuombelezwa Na Wao Kwao Baina Mikono Ya Mola Wao Mlezi Kua Wao Kweli Watawaombeleza Kwao Mbele Ya Mikono Ya Allah Eee Hakika Haitowafa Maombezi Yao? Na Jibu Tutaliwacha Kwa Mola Mlezi Moja Kwa Moja:
{كَلَّا سَيَكْفُرُونَ بِعِبَادَتِهِمْ وَيَكُونُونَ عَلَيْهِمْ ضِدّاً (82)} صدق الله العظيم [مريم]
Allah Ta3ala Asema
{ Sivyo kabisa! Wataikataa hiyo ibada yao, na watakuwa ndio dhidi yao (82)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam]; Bali Anakusudia Kwamba Yale Maombezi Shafaa Ambao wanaitakidi Nayo Haitowasaidia Kwakua Haiko Hio Shafaa Kamwe Kabisa Lakini Hawatowaitikia Maombi Ya Maombelezi Kwao Mbele Ya Mola Mlezi Wao Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يَقُولُ نَادُوا شُرَكَائِيَ الَّذِينَ زَعَمْتُمْ فَدَعَوْهُمْ فَلَمْ يَسْتَجِيبُوا لَهُمْ وَجَعَلْنَا بَيْنَهُم مَّوْبِقًا (52)} صدق الله العظيم [الكهف].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na siku atakapo sema (Mwenyezi Mungu): Waiteni hao mlio dai kuwa ni washirika wangu. Basi watawaita, na wao hawato waitikia. Nasi tutaweka baina yao maangamio (52)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].

Na Akasema Allah Ta3ala:

{إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14) ۞ يَا أَيُّهَا النَّاسُ أَنتُمُ الْفُقَرَاءُ إِلَى اللَّهِ ۖ وَاللَّهُ هُوَ الْغَنِيُّ الْحَمِيدُ (15)} صدق الله العظيم [فاطر].
Allah Ta3ala Asema:
{ Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari (14) Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa (15} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir].

Na Akasema Allah Ta3ala:

{فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ (28)فَكَفَى بِاللَّهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ(29)} صدق الله العظيم [يونس].
Allah Ta3ala Asema
{ Kisha tutawatenga baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].

Na Wala Hatokusudia Allah Ta3ala Kwa Kuli Yake:
{فَمَا تَنفَعُهُمْ شَفَاعَةُ الشَّافِعِينَ} صدق الله العظيم
{ Lakini Haitowafa Maombezi Ya Waombelezaji } Sadaqa Allah Al3adhim; Yani Kwamba Wako Waja Wanashufaia Waja Kwa Njia Ya Moja Kwa Moja Mbele Ya Mikono Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa, Haihat Haihat.. Hakika Allah Anajua Kwamba Hakuna Mja Anasubutu Kushufaia Mbele Ya Mikono Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ مَا لاَ يَضُرُّهُمْ وَلاَ يَنفَعُهُمْ وَيَقُولُونَ هَؤُلاء شُفَعَاؤُنَا عِندَ اللَّهِ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّهَ بِمَا لاَ يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلاَ فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يونس:18].
Allah Ta3ala Asema:
{ Nao, badala ya Mwenyezi Mungu, wanaabudu wasio wadhuru wala kuwanufaisha,na wanasema: Hawa ndio waombezi wetu kwa Mwenyezi Mungu! Sema: Je! Mnamwambia Mwenyezi Mungu asiyo yajua ya katika mbingu wala katika ardhi? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].

Lakini Basi Angalia Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:

{قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّهَ بِمَا لاَ يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلاَ فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم
{ Sema: Je! Mnamwambia Mwenyezi Mungu asiyo yajua ya katika mbingu wala katika ardhi? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye} Sadaqa Allah Al3adhim; Mana Kwamba Allah Anajua Kuwa Hakika Hawana Wao Waombelezi Mbele Ya Mikono Ya Mola Mlezi Wao, Lakini Kwa Idhini Ya Allah Kwa Khutba Ili Itimu Kupatikane Shafaa Kutoka Kwa Mola Mlezi Moja Kwa Moja Ndio Ishufaie Rahma Yake Kwa Waja Wake Kutokana Na Adhabu Yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُل لِّلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ} صدق الله العظيم [الزمر:44].
Allah Ta3ala Asema:
{ Sema: Uombezi wote uko kwa Mwenyezi Mungu. Ni wake Yeye tu ufalme wa mbingu na ardhi. Kisha mtarejeshwa kwake} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur:44].

Lakini Nani Huyo Ambae Yeye Ana Huruma Zaidi Juu Yenu Kuliko Allah Arhama Arahimin Mwenye Huruma Zaidi Kuliko Wenye Huruma? Na Sifa Ya Rahma Huruma Katika Nafsi Ya Allah Nayo Ni Hoja Yenu Juu Ya Mola Mlezi Wenu, Na Waadi Wake Ni Haki Na Yeye Ni Arhama Arahimin.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu: Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
_____________