Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - ذو القعدة - 1435 هـ
30 - 08 - 2014 مـ
05:05 مسـاءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org./showthread.php?t=19382

ـــــــــــــــــــ

تذكير بالنعيم الأعظم من الإمام المهديّ ناصر محمد إلى عموم المسلمين ..
Ukumbusho Wa "ANa3im Ala3dham" Neema Kuu Kutoka Kwa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kwa Waislamu kwa Jumala.

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Na Watu Wao Walio Wazuri Na Ma Ansar Wao waumini kuwanzia wamwanzo mpaka wa mwisho wao Muhammad Mtume Wa Allah Enyi Mulio Amini Msalieni Ju Yake Na Musalimi Salamu, Ama Baada Ya Hapo..

Amesema Allah Ta3ala:
{ Wala hahitajii Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa na mwana (92) Hapana yeyote aliomo mbinguni na ardhini ila atafika kwa Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa ni mtumwa wake (93) Yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa (94) Na kila mmoja katika wao atamfikia Siku ya Kiyama peke yake (95)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].
{وَمَا يَنبَغِي لِلرَّحْمَـٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا ﴿٩٢﴾إِن كُلُّ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَـٰنِ عَبْدًا ﴿٩٣﴾لَّقَدْ أَحْصَاهُمْ وَعَدَّهُمْ عَدًّا ﴿٩٤﴾وَكُلُّهُمْ آتِيهِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَرْدًا ﴿٩٥﴾} صدق الله العظيم [مريم].

Na kwa hayo tunachunguza uhakika wa kua'budu kua Yeye Anamwita jinsia ya kiume ama ya kike katika ma jini na watu na katika kila aina ya jinsia basi wote ni watumwa kwa Mola Mlezi Wao, Yani kwa maana Yeye Amewaumba ili wawe kwake ni watumwa ndio waabudu Ridhwan Yake waifanye ndio lengo katika nafsi zao kua hawatoridhika mpaka Aridhike, Lakini je hilo lengo kwao katika nafsi ya Mola Mlezi wao ni lengo la lazima ama lengo la kuchagua? Na nasema kulingana na lengo la ku'umbwa kwao basi tayari Ameshabainisha Allah kwa watumwa Wake katika ilio wazi maana yake kitabu chake kwenye kauli Yake Allah Ta3ala:
{ Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ (56)} صدق الله العظيم [الذاريات].

Lakini Allah Ndio Mwenye Kibri Na Utukufu Basi Hakuamuru kua muabudu Radhi Ya Nafsi Yake Lengo; Bali Amefanya Janna kwa atakae shukuru na akafwata Radhi Ya Mola Mlezi Wake na moto kwa atakae kufuru na akafwata yale yanao mkasirisha Mola Mlezi Wake, Na Uwadhimu wa Utukufu wa Allah Ndani Ya Nafsi Yake na Kiburi Chake kua Yeye Amefanya mpango wa kibiashara baina ya watumwa na Mola Mlezi Anae Abudiwa, Aktangaza biashara ya ku'uza na kununua baina ya Mola Mlezi Anae Abudiwa Na watumwa, Akanunua kwao nafsi zao na mali yao kua watapata pepo, Na mpango wa biashara hio iko katika taurati na injili na Qurani tukufu na kwenye vitabu vote va mbinguni. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa } Sadaqa Allah Al3adhim [Alyawuba:111].
{إِنَّ اللَّهَ اشْتَرَىٰ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ أَنْفُسَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ بِأَنَّ لَهُمُ الْجَنَّةَ ۚ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنْجِيلِ وَالْقُرْآنِ ۚ وَمَنْ أَوْفَىٰ بِعَهْدِهِ مِنَ اللَّهِ ۚ فَاسْتَبْشِرُوا بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُمْ بِهِ ۚ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:111].

Kwajili Ya Hivo wamewabashiria Malaika Wa Arrahman Walio Karibu Wakasema:
{ Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa (30))} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].
{إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا تَتَنَزَّلُ عَلَيْهِمُ الْمَلَائِكَةُ أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)} صدق الله العظيم [فصلت].

Basi wanaji bashiri kwa bishara hio watu wema wote na mashuhada katika njia ya Allah wakawa wana furaha kwa yale Alio Wapa Allah Katika Pepo Yake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika (170)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran{.
{فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِم مِّنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ (170)} صدق الله العظيم [آل عمران].

Na Haikua Kauli Yao ila wamesema:
{ Hakika huku bila ya shaka ndiko kufuzu kukubwa (60) Kwa mfano wa haya nawatende watendao (61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Asafat].
{ إِنَّ هَذَا لَهُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (60) لِمِثْلِ هَذَا فَلْيَعْمَلْ الْعَامِلُونَ (61) } صدق الله العظيم [الصافات].

ispokua Safwat albasharia wa kheiru albaria walio tubu walio jitawahirisha ma ansar wa Al'Mahdi Al'Muntadhar katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri natoa qasam kwa Allah Al3adhim Mola Wa Mbingu Na Ardhi na viliomo baina yao na Mola Wa Arshi Kuu kwamba wao hawatoridhika kwa ufalme wa neema ya pepo ya Mola Mlezi wao kuanzia ya chini yake mpaka ya ju yake tirmanatuljana alwasila daraja ya ju ilio inuka pamoja ya kwamba Allah Ameridhika ju yao na Akataka kuwatimizia yale Alio Waahidi ndio Awaridhishe kwa yale yaliomo ndani ya nafsi zao ndio Awatimizie yaliomo ndani ya nafsi zao, Mara hawo malaika walio karibu wanawabashiria mbele ya mikono yao wanawambia wao:
{ Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa (30))} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].
{أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)} صدق الله العظيم
[فصلت].

Kama wanavo wabashiria wengine wao katika watu wema lakini hawa wahishimiwa waliokirimiwa kila wakibashiriwa na malaika kwa mabustani ya pepo ya neema kwakua wao wanaona huzuni kwenye uso zao ndio wanawambia wao:
{ Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa (30))} Sadaqa Allah Al3adhim,
{أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)}
صدق الله العظيم،
Lakini wanakata bishara wakageuka upande wao kwa malaika basi wakawakabili tena mara nyengie mbele yao, Basi wawabashiri tena kisha wanakata kwa kugeuka upande mwengine, Kisha malaika wanajaribu kuwavuta kwa mikono yao kwenda peponi ili waamini kua wao ni katika watu wa pepo ya neema, Mara malaika pamoja na nguvu zake ambazo ni jabari pamoja ya kua moja katika malaika anaweza kulingowa jabali kuu kutoka pahala pake, Mara malaika hawezi kumtingisha moja wao kumondoa pahala pake kitu! ikawashangaza malaika uwadhimu wa nguvu ya kukita hawa kaumu kama uadhimu wa kukita nyoyo zao kutimiza kupatikane "Ana3im Ala3dham" Neema Kuu. Akawafanyia Allah uzani adhimu ikawashangaza malaika basi hawakuweza kuwaondosha yoyote katika hawa kaumu kutoka pahala pake na hata wakakusanyika kwake wakasema: Amri ni yako ewe Mola Mlezi Wa Ulimwengu.

Kisha Anawamuru Allah kua walete kwa kila moja wao katika hawa kaumu mimbari ya nur inaangaza aweke malaika mbele ya kila moja wao katika hawa kaumu mbele ya migu yake, Kisha anapanda kila moja wao kwa mombari ambao ameweka malaika mbele yake, Kisha inainuka mimbari kwa kudra ya Allah kulekea upande wa Arshi Ya Arrahman, Basi watapelekwa kwa Arrahman. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Siku tutayo wakusanya wachamngu kuwapeleka kwa Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa ni wageni wake (85)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].

Basi inapanda mimbari ya wageni wahishimiwa wa Arrahman ju ya vichwa vya viumbe na wao wanagalia, Wala sio kuwafanyia hisabu! Bali wageni wahishimiwa kwa Mola Mlezi wao hawashufai ila Atakae mridhia Azungumze kutimu ipatikane shafaa.

Na enye waja wa Allah, Wallahi Ambae Hapana Mola ispokua Yeye haiwi haki kwa mja yoyote kushufaia mbele ya Allah Arrhama Arrahimin, Ispokua Adhinisha Allah kwa yule Amtakae katika waja wake walio kirimiwa kutimu ipatikane shafaa Katika Nafsi Ya Allah, Ndio ishufaie kwao Rahma Yake kutokana na Adhabu Yake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Sema ni ya Allah Shafaa Yote } Sadqa Allah Al3adhim [Alzumur
{قُلْ لِلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [الزمر:44].

ispokua inaombeleza Rahma Yake kwa waja Wake walio potea kutokana na Adhabu yake, Na hapo ndio mshangao mkubwa! Basi Waseme wale ambao Amewaokoa Allah kutimu kupatikana Shafaa Yake kwa wageni waliokirimiwa: Nini Amesema Mola Mlezi Wenu? Wakasema: Yalio kwele, Na Yeye Alie Juu Alkabir Na ikatimua kupatikana Ana3im Ala3dham Neema Kuu kutokana na Bustani Ya Neema. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Wala uombezi mbele yake hautafaa kitu, isipo kuwa kwa aliye mpa idhini. Hata itapo ondolewa khofu kwenye nyoyo zao wakasema: Mola wenu Mlezi kasema nini? Watasema: Yaliyo kweli! Na Yeye ndiye Aliye juu, Mkubwa (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa].
{وَلَا تَنفَعُ الشَّفَاعَةُ عِندَهُ إِلَّا لِمَنْ أَذِنَ لَهُ ۚ حَتَّىٰ إِذَا فُزِّعَ عَن قُلُوبِهِمْ قَالُوا مَاذَا قَالَ رَبُّكُمْ ۖ قَالُوا الْحَقَّ ۖ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ (23)} صدق الله العظيم [سبأ].

Hivi hamuoni maombelezi imekuja kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu ikaombeleza kwa walio potea katika waja wake Rahma Yake kutoka kwa Adhabu Yake? Kwajili ya hivo walisema kwa wageni wahishimiwa:
{ Mola wenu Mlezi kasema nini }?
{مَاذَا قَالَ رَبُّكُمْ}
Wakawrudishia jibu wote wageni wahishimiwa kwa ulimi moja kwa pamoja:
{ Wakasema: Yaliyo kweli! Na Yeye ndiye Aliye juu, Mkubwa (23)} Sadaqa Allah Al3adhim
{قَالُوا الْحَقَّ ۖ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ (23)} صدق الله العظيم.

Na enye waja wa Allah, Natoa Qasam Kwa Allah Al3adhim Hakika hawa kaumu ni katika umma hu ambapo hu umma Atatuma Allah humo Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad. Na enye waja wa Allah, Natoa Qasam Kwa Allah Al3adhim hakika wao ndio kaumu ambao Anawapenda Allah na wanampenda. Na naapa Qasam Billah Al3adhim hakik hawatoridhika mpaka Awe Mola Mlezi Wao Ameridhika katika Nafsi Yake Hana huzuni wala Maskitiko basi wao kwa hayo ni katika mashahidi, Basi nitajuwaje kwa yale yaliomo kwa nafsi yao! Lakini ila mola Mlezi Wangu Amenijulisha nao kwa njia ya wajumbe Wake kua wao wako katika umma hu na wao kwa hayo ni katika mashahidi. Na je mwajua sababu kutoridhika kwao mpaka ipatikane kutimu Radhi Ya Nafsi Ya Mola Mlezi Wao? Eee Hakika Sababu Ni uwadhimu wa mapenzi yao ju ya Mola Mlezi Wao kwajili ya hivi hawatoridhika mpaka Aridhike.


Na nakariri na nakumbusha kua sisi twakiri kwa uwadhimu wa mpenzi ya Ma Nabi na ma Anssari wao ju ya Mola Mlezi wao, Ispokua Amewatunukia Allah ju ya umma hu kwa kumtumiliza Al'Imam Al'Mahdi (3abdul'Na3im Ala3dham) Nasser Muhammad Al'Yamani akawafundisha kwamba Mola Mlezi wao vile Anaghadhibika na Anaridhika basi hivo hivo Anafurahika Na Anahuzunika, Na akawafundisha kua Mola Mlezi wao Ana Maskitiko Na Huzuni ju ya waja wake wale ambao wamekua baada Alipo Waangamiza Allah wamejuta ju ya yale walio poteza upande wa Mola Mlezi wao, Na sababu ya maskitiko ya Allah ndani ya Nafsi Yake ni sababu ya sifa ya uwadhimu wa Rahma ndani ya Nafsi Yake Allah, Lakini nani mwenye kauli ya ukweli kuliko Allah? Basi hapana budi waonje ubaya ya waliotenda mpaka wamombe Mola Mlezi wao Rahma ambayo Aliandika kwa Nafsi Yake.

Kwa hali zote mimi naona baadhi ya wakanushaji wanajadiliana na ma anssar basi wanasema: "Hivi hakusema Masih Issa Mwana wa Maryam kua yeye hajuwi yale yaliomo ndani ya Nafsi ya Mola Mlezi wake katika kauli ya Allah Ta3ala:
{ Wajua yalio kwa nafsi yangu wala sijuwi yalio kwa Nafsi Yako hakika Wewe ni Mjuzi wa vilio fichika}?"
{تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ}؟"
Kisha Wanasema: " Basi vipi amejua Nasser Muhammad kwa yale yalio ndani ya Nafsi Ya Mola Mlezi wake kua Yeye Ana Majuto Na Huzuni?". Kisha anasmamisha Al'Imam Al'Mahdi Nasser Al'Yamani hoja kwa haki ju ya wakanushaji na nasema: Na hivo hivo Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Hajuwi yaliomo ndani ya Nafsi Ya Allah Subhanahu na Yeye Ajua yaliomo kwa nafsi yangu, Ispokua Allah Yeye ndio Aliwaeleza kwa yale yaliomo ndani ya Nafsi Yake kwamba Yeye Ana huzuni na mas

kitiko ju ya wote waja wake walio potea wale ambao walikadhibisha Mitume wa Mola Mlezi wao mpaka pindi Akiwangamiza inakuja majuto ndani ya nafsi zao kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao, Wakasema Kila Moja Wao:
{ eee majuto yangu kwa yale nilio poteza kwa upande wa Allah hakika mimi nilikua katika walio khasirika (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].
: {يَا حَسْرَتَى عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ (56)} صدق الله العظيم [الزمر].
Kisha Akawaeleza Allah Kwamba majuto yanakuja kwenye Nafsi Yake ju yao baada kujuta kwao kwa yale walio poteza upande wa Mola Mlezi wao, Kisha ndio Anajuta Allah Ju yao Katika Nafsi Yake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{إِنْ كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ (29)يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (30)أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ (31) وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ (32)} صدق الله العظيم [يس].
Na wana jambo gani kaumu hawa hawafahamu kauli wala hawaongoki kwa njia!! Basi Subira ni njema.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..

Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
__________

اقتباس المشاركة 157294 من موضوع تذكير بالنعيم الأعظم من الإمام المهدي ناصر محمد إلى عموم المسلمين..

[ لمتابعة رابط المشاركــة الأصليّة للبيــــان ]
https://nasser-alyamani.org./showthread.php?p=157277

الإمام ناصر محمد اليماني

04 - ذو القعدة - 1435 هـ
30 - 08 - 2014 مـ
05:05 مسـاءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــــــ


تذكير بالنعيم الأعظم من الإمام المهديّ ناصر محمد إلى عموم المسلمين ..

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة الأنبياء والمرسلين وآلهم الطّيّبين وأنصارهم المؤمنين من أولهم إلى خاتمهم محمد رسول الله يا أيها الذين آمنوا صلوا عليه وسلموا تسليماً، أمّا بعد..

قال الله تعالى: {وَمَا يَنبَغِي لِلرَّحْمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا ‎﴿٩٢﴾‏ إِن كُلُّ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَٰنِ عَبْدًا ‎﴿٩٣﴾‏ لَّقَدْ أَحْصَاهُمْ وَعَدَّهُمْ عَدًّا ‎﴿٩٤﴾‏ وَكُلُّهُمْ آتِيهِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَرْدًا ‎﴿٩٥﴾‏} صدق الله العظيم [مريم].

ومن خلال ذلك نستنبط حقيقة العبودية أنّه يطلق على الذكر والأنثى في الجنّ والإنس ومن كل جنسٍ فجميعهم عبيدٌ لربِّهم، بمعنى أنّه خلقهم ليكونوا له عبيداً فيعبدون رضوانه فيجعلونه غايةً في أنفسهم أن لا يرضوا حتى يرضى. ولكن هل تلك الغاية لهم في نفس ربّهم هي غايةٌ جبريّةٌ أم إختياريّة؟ وأقول بالنسبة للهدف مِنْ خلقهم فقد بيّنه الله لعباده في محكم كتابه في قول الله تعالى: {وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ (56)} صدق الله العظيم [الذاريات].

ولكنّ الله له عزةٌ وكبرياءٌ فلم يأمركم أن تعبدوا رضوان نفسه غايةً؛ بل جعل الجنّة لمن شكر واتّبع رضوان ربّه والنار لمن كفر واتّبع ما يُسخط ربَّه، ومن عظيم عزَّة الله في نفسه وكبريائه أنه عَقَدَ صفقةً تجاريّةً بين العبيد والربّ المعبود، فأقام بيعاً وشراءً بين الربّ المعبود والعبيد، فاشترى منهم أنفسهم وأموالهم بأنّ لهم الجنّة، وتلك الصفقة في التوراة والإنجيل والقرآن العظيم وفي كل الكتب السماويّة. تصديقاً لقول الله تعالى: {إِنَّ اللَّهَ اشْتَرَىٰ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ أَنْفُسَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ بِأَنَّ لَهُمُ الْجَنَّةَ ۚ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنْجِيلِ وَالْقُرْآنِ ۚ وَمَنْ أَوْفَىٰ بِعَهْدِهِ مِنَ اللَّهِ ۚ فَاسْتَبْشِرُوا بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُمْ بِهِ ۚ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:111].

ولذلك بشَّرهم ملائكة الرحمن المقرّبين وقالوا: {إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا تَتَنَزَّلُ عَلَيْهِمُ الْمَلَائِكَةُ أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)} صدق الله العظيم [فصلت].

فيستبشر بتلك البشرى كافةُ الصالحين والشهداء في سبيل الله فيكونون فرحين بما آتاهم الله من فضل جنته. تصديقاً لقول الله تعالى: {فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِم مِّنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ (170)} صدق الله العظيم [آل عمران].

وما كان قولهم إلا أن قالوا: {إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ‎﴿٦٠﴾‏ لِمِثْلِ هَٰذَا فَلْيَعْمَلِ الْعَامِلُونَ ‎﴿٦١﴾‏} صدق الله العظيم [الصافات].

إلا صفوة البشريّة وخير البريّة التّوّابين المتطهّرين أنصارَ المهديّ المنتظَر في عصر الحوار من قبل الظهور فأقسم بالله العظيم ربّ السماوات والأرض وما بينهما وربّ العرش العظيم أنّهم لن يرضوا بملكوت نعيم جنات ربّهم من أدناها إلى أعلاها طيرمانة الجنة الوسيلة الدرجة العالية الرفيعة برغم أنّ الله رضي عنهم وأراد أن يفيَهم بما وعدهم فيرضيهم بما في أنفسهم فيحقِّق لهم ما في أنفسهم، فإذا الملائكة المقربون يبشِّرونهم من بين أيديهم فيقولون لهم: {أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)} صدق الله العظيم [فصلت].

كما يبشِّرون غيرهم من الصالحين ولكنّ هؤلاء الوفد المكرمين كلَّما بشَّرتهم الملائكة بجنّات النعيم لكونهم يرون حزناً على وجوههم فيقولون لهم: {أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنْتُمْ تُوعَدُونَ (30)} صدق الله العظيم، ولكنّهم يُعرضون عن البشرى ونأوا بجانبهم عن الملائكة فواجهوهم مرةً أخرى من بين أيديهم، فيُلقون لهم بالبشرى ثم يُعرضون عنهم إلى جهةٍ أخرى، ثم تُحاول الملائكة أن يجرّوهم بأيديهم إلى الجنّة ليصدقوا أنّهم من أصحاب جنات النعيم، فإذا الملك برغم قوّته الجبّارة وبرغم أنّ أحدَ الملائكة يستطيع أن ينزع جبلاً عظيماً من مكانه، فإذا المَلَكُ لا يستطيع أن يزحزح أحدهم من مكانه شيئاً! فأدهشت الملائكة عظيم قوة ثبات هؤلاء القوم كثبات قلوبهم على تحقيق النّعيم الأعظم. وأقام الله لهم يوم القيامة وزناً عظيماً فأدهشت الملائكة فلم يستطيعوا أن يُزحزحوا أحداَ من هؤلاء القوم من مكانه ولو اجتمعوا له فقالوا: الأمر لك يا إله العالمين.

فمن ثم يأمرهم الله أن يُحضِروا لكلٍّ من هؤلاء القوم منبراً من نورٍ يضيء فيضعه المَلَك بين يدي كلِّ واحدٍ من هؤلاء القوم أمام قدميه، ثم يصعد كلُّ واحدٍ على المنبر الذي وضعه المَلَك بين يديه، ثم ترتفع المنابر بقدرة الله متجهةً صوب عرش الرحمن، فيتمُّ حشرهم إلى الرحمن. تصديقاً لقول الله تعالى: {يَوْمَ نَحْشُرُ الْمُتَّقِينَ إِلَى الرَّحْمَـٰنِ وَفْدًا ﴿٨٥﴾} صدق الله العظيم [مريم].

فترتفع المنابر بوفد الرحمن على رؤوس الخلائق وهم ينظرون، وليس للحساب! بل وفدٌ مكرمون عند ربّهم لا يشفعون إلا لمن ارتضى له بالخطاب في تحقيق الشّفاعة.

ويا عباد الله، والله الذي لا إله غيره لا يحقّ لأيّ عبدٍ الشفاعة بين يدي الله أرحم الراحمين، وإنّما يأذن الله لمن يشاء من عباده المُكرّمين بتحقيق الشفاعة في نفس الله، فتشفع لهم رحمته من عذابه. تصديقاً لقول الله تعالى: {قُلْ لِلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [الزمر:44].

وإنّما تشفع رحمته لعباده الضّالّين من عذابه، وهنا المفاجأة الكبرى! فيقول الذين أنقذهم الله بتحقيق الشفاعة للوفد المكرمين: ماذا قال ربكم؟ فقالوا: الحقّ، وهو العلي الكبير. وتحقّق النعيم الأعظم من جنات النعيم. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا تَنفَعُ الشَّفَاعَةُ عِندَهُ إِلَّا لِمَنْ أَذِنَ لَهُ ۚ حَتَّىٰ إِذَا فُزِّعَ عَن قُلُوبِهِمْ قَالُوا مَاذَا قَالَ رَبُّكُمْ ۖ قَالُوا الْحَقَّ ۖ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ (23)} صدق الله العظيم [سبأ].

ألا ترون الشفاعة جاءت من ربّ العالمين فشفعت للضالين من عباده رحمتُه من عذابه؟ ولذلك قالوا للوفد المكرمين: {مَاذَا قَالَ رَبُّكُمْ}؟ فردَّ عليهم كافةُ الوفد المكرمين وبلسانٍ واحدٍ: {قَالُوا الْحَقَّ ۖ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ (23)} صدق الله العظيم.

ويا عباد الله، أقسم بالله العظيم أنّ هؤلاء القوم في هذه الأمّة التي هي الأمّة التي يبعث فيها الله الإمام المهديّ ناصر محمد. ويا عباد الله، أقسم بالله العظيم أنّهم هم القوم الذين يحبّهم الله ويحبونه. وأقسم بالله العظيم أنّهم لن يرضوا حتى يكون ربّهم راضياً في نفسه لا مُتحسِّراً ولا حزيناً فهم على ذلك من الشاهدين، فما يُدريني بما في أنفسهم! ولكنّ ربّي علّمني بهم عن طريق رسوله أنّهم في هذه الأمّة فهم على ذلك من الشاهدين. وهل تدرون ما سبب عدم رضوانهم حتى يتحقق رضوان نفس ربّهم؟ ألا وإنّ السبب هو من عظيم حبّهم لربّهم ولذلك لن يرضوا حتى يرضى.

وأكرر وأذكّر أننا نُقِرُّ ونؤكد عظيم حبِّ الأنبياء وأنصارهم لربّهم، وإنما مَنَّ الله على هذه الأمّة ببعث الإمام المهديّ (عبد النّعيم الأعظم) ناصر محمد اليماني فعلّمهم أنّ ربّهم بما أنّه يغضب ويرضى فكذلك يفرح ويحزن، وعلّمهم أنّ ربّهم متحسرٌ وحزينٌ على عباده الذين صاروا من بعد أن أهلكهم الله متحسرين على ما فرَّطوا في جنب ربِّهم. وسبب حسرة الله في نفسه هو بسبب صفة عظيم الرحمة في نفس الله، ولكن من أصدق من الله قيلاً؟ فلا بدّ أن يذوقوا وبال أمرهم حتى يسألوا ربّهم رحمته التي كتب على نفسه.

وعلى كل حالٍ إنّني أرى بعض المُمترين يجادلون الأنصار فيقولون: "ألم يقل المسيح عيسى ابن مريم أنّه لا يعلم بما في نفس ربّه في قول الله تعالى: {تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ}؟" فمن ثم يقولون: "فكيف علم ناصر محمد بما في نفس ربِّه بأنّه متحسرٌ وحزينٌ؟". فمن ثم يقيم الإمام المهديّ ناصر اليماني الحجّة بالحقّ على الممترين وأقول: فكذلك الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني لا يدري بما في نفس الله سبحانه وهو يعلم بما في نفسي، وإنّما الله هو الذي أخبركم عمّا في نفسه بأنّه متحسرٌ وحزينٌ على كافة عباده الضالين الذين كذبوا برسل ربّهم حتى إذا أهلكهم جاءت الحسرة في أنفسهم على ما فرّطوا في جنب ربّهم، فقال كلٌّ منهم: {يَا حَسْرَتَى عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ (56)} صدق الله العظيم [الزمر].

فمن ثم أخبركم الله أنّ الحسرة تأتي في نفسه عليهم من بعد تحسّرهم على ما فرّطوا في جنب ربّهم، فمن ثمّ تحسّر الله عليهم في نفسه. تصديقاً لقول الله تعالى: {إِنْ كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ (29)يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (30)أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ (31) وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ (32)} صدق الله العظيم [يس]. فَمَالِ هؤلاء القوم لا يكادون يفقهون قولاً ولا يهتدون سبيلاً!! فصبرٌ جميلٌ.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
________________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..